Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Aliyekuwa mume wa Flora Mbasha ametuma sms kwa Dullah kuwa anasikiliza Planet Bongo kipindi ambacho kinapiga nyimbo za bongo fleva (watu wa mataifa, kama ambavyo wanawaita wao).
My take:
Watu wa dini wamekuwa wakisema kuwa muziki wa bongo fleva ni muziki wa shetani, muziki wa wahuni na wavuta bang na muziki usio na utukufu wa Mungu. Kwahiyo Mbasha anaposikiliza maana yake naye pia ni muhuni? mvuta bangi?
Kweli bongo fleva ni noma yaani Mbasha ameamua kuondoa stress kwa kumsikiliza Ally Kiba. Wachungaji acheni kunyang'anya waumini wenu wake zao mnasababisha wanaanza kusikiliza Bongo Fleva.
Posted by: SUPU YA MAWE