Emmanuel Mbasha anasikiliza Planet Bongo

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,610
Aliyekuwa mume wa Flora Mbasha ametuma sms kwa Dullah kuwa anasikiliza Planet Bongo kipindi ambacho kinapiga nyimbo za bongo fleva (watu wa mataifa, kama ambavyo wanawaita wao).

My take:
Watu wa dini wamekuwa wakisema kuwa muziki wa bongo fleva ni muziki wa shetani, muziki wa wahuni na wavuta bang na muziki usio na utukufu wa Mungu. Kwahiyo Mbasha anaposikiliza maana yake naye pia ni muhuni? mvuta bangi?

Kweli bongo fleva ni noma yaani Mbasha ameamua kuondoa stress kwa kumsikiliza Ally Kiba. Wachungaji acheni kunyang'anya waumini wenu wake zao mnasababisha wanaanza kusikiliza Bongo Fleva.

Posted by: SUPU YA MAWE
 
Anaondoa Msongo wa mawazo
 
Aliyekuwa mume wa Flora Mbasha ametuma sms kwa Dullah kuwa anasikiliza Planet Bongo kipindi ambacho kinapiga nyimbo za bongo fleva (watu wa mataifa, kama ambavyo wanawaita wao).

My take:
Watu wa dini wamekuwa wakisema kuwa muziki wa bongo fleva ni muziki wa shetani, muziki wa wahuni na wavuta bang na muziki usio na utukufu wa Mungu . Kwahiyo Mbasha anaposikiliza maana yake naye pia ni muhuni? mvuta bangi?

Kweli bongo fleva ni noma yaani Mbasha ameamua kuondoa stress kwa kumsikiliza ALLY KIBA. Wachungaji acheni kunyang'anya waumini wenu wake zao mnasababisha wanaanza kusikiliza Bongo Fleva.

Posted by: SUPU YA MAWE

Bora asikize mangoma kuliko kukimbilia poda kwa ajir ya kuondoa stress za kuibiwa mke
 
Last edited by a moderator:
Mbona rose muhando anaenda hadi kwenye makumbi H baba akiwa na shoo wakamuuli unavutiwa nani kwenye muziki wa h baba .akajibu anavyokata viuno tu yy hoiii
 
Teh teh teh.... Uwiiiii H-baba anampagawisha Rose Muhando..... Nimecheka sana.
 
Kwani mbasha na x-wife wake ni walokole au waimbaji wa nyimbo za injili tu?
 
kala maharagwe ya gwajima hhh zee lile limebunyua mke wa huyu mshikaji adi preg
 
Aliyekuwa mume wa Flora Mbasha ametuma sms kwa Dullah kuwa anasikiliza Planet Bongo kipindi ambacho kinapiga nyimbo za bongo fleva (watu wa mataifa, kama ambavyo wanawaita wao).

My take:
Watu wa dini wamekuwa wakisema kuwa muziki wa bongo fleva ni muziki wa shetani, muziki wa wahuni na wavuta bang na muziki usio na utukufu wa Mungu. Kwahiyo Mbasha anaposikiliza maana yake naye pia ni muhuni? mvuta bangi?

Kweli bongo fleva ni noma yaani Mbasha ameamua kuondoa stress kwa kumsikiliza Ally Kiba. Wachungaji acheni kunyang'anya waumini wenu wake zao mnasababisha wanaanza kusikiliza Bongo Fleva.

Posted by: SUPU YA MAWE

Umesahau ile ya rose muhando kumfagilia H Baba eti anakubali sana show zake.
 
Back
Top Bottom