kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,462
Huyo Emmanuel Mbasha ndio nani mkuu?.
Hayo mambo yenu ya mjini bana, huku kwetu vijijini ni shida. Hata radio ya mkulima kuipata ni shughuli. Thank you anyway!.Wewe ni mhamiaji toka nchi gani na una muda gani hapa nchini Tanzania?
Hayo mambo yenu ya mjini bana, huku kwetu vijijini ni shida. Hata radio ya mkulima kuipata ni shughuli. Thank you anyway!.
MkeweflorambashaHuyo Emmanuel Mbasha ndio nani mkuu?.
Huyo Emanuel Mbasha nadhani ni mjinga kabisa, hajitambui kabisa. Hakupaswa kutoa jibu la kitoto kama hilo. Alipaswa kusema Mtoto ni wangu(Hata kama sio wa kwake) au Mtoto sio wangu(kwa sababu zozote) au Bado sijajua kama ni wangu ama sio wangu...(Akimaanisha anasubiri uthibitisho wa kisayansi nk).

Duuuu,usanii mgumu hapo tu...yani cri na udhaifu wa ndani kwenye media??? cpendi maisha hayo kabisaaaa...ndoa ina changamoto zake nyng ila zikifika kwny media haziwezi kuisha mn ya ukweli na hata ya uongo husemwa!Mungu bariki ndoa za watoto wako