Emmanuel Mbasha: Flora ndiye anayejua ukweli baba wa mtoto aliyejifungua

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,462
Akihojiwa na gazeti la Mtanzania baada ya kuahirishwa kwa kesi yake ya ubakaji inayomkabili, amedai kuwa Flora ndiye anayejua ukweli wa nani baba wa mtoto aliyejifungua hivi karibuni.

Ameongea hivyo baada ya kuulizwa na waandishi wa habari kutokana na kusambazwa kwa picha ya mtoto ikimhusisha kufanana na mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima ndugu Gwajima.

My take: Ukiona mume anasema mke ndiye anayejua ukweli wa nani baba wa mtoto ujue pana walakini juu ya mapenzi yao, anajua alikuwa anachapiwa.
 
Huyo Emanuel Mbasha nadhani ni mjinga kabisa, hajitambui kabisa. Hakupaswa kutoa jibu la kitoto kama hilo. Alipaswa kusema Mtoto ni wangu(Hata kama sio wa kwake) au Mtoto sio wangu(kwa sababu zozote) au Bado sijajua kama ni wangu ama sio wangu...(Akimaanisha anasubiri uthibitisho wa kisayansi nk).
 
Huyo Emmanuel Mbasha ndio nani mkuu?.

Wewe ni mhamiaji toka nchi gani na una muda gani hapa nchini Tanzania?
Anyways ngoja nikujibu; ni mume wa Flora Mbasha mwanamuziki wa nyimbo za injili naye pia ni msanii wa nyimbo za injili anayehisi kuchapiwa na mchungaji Gwajima!
 
Wewe ni mhamiaji toka nchi gani na una muda gani hapa nchini Tanzania?
Hayo mambo yenu ya mjini bana, huku kwetu vijijini ni shida. Hata radio ya mkulima kuipata ni shughuli. Thank you anyway!.
 
Nilishaedit nimekujibu kwenye swali lako la msingi hapo juu baada ya kufikiria pengine ni kweli hujui!
 
N kwelii lkn cku zote anayemjua baba wa mtoto n mama hvyoo jamaa ana budi kusema hvyo
 
Pdidy nimekuona toa maoni yako kuhusu wasiwasi wa Emma kuchapiwa na mch. Gwajima!
 
Last edited by a moderator:
Huyo Emanuel Mbasha nadhani ni mjinga kabisa, hajitambui kabisa. Hakupaswa kutoa jibu la kitoto kama hilo. Alipaswa kusema Mtoto ni wangu(Hata kama sio wa kwake) au Mtoto sio wangu(kwa sababu zozote) au Bado sijajua kama ni wangu ama sio wangu...(Akimaanisha anasubiri uthibitisho wa kisayansi nk).

Maadam mtoto amezaliwa na mke wake na ndoa yao haijavunjika huyo ni mtoto wake na afanye haraka kabisa kumsajili kwa jina lake. Hapo hakuna cha DNA wala nini ni mali yake period.

Hii itakuja kufanana siku mume wa "Bossy Lady" atakapokuja kujimilikisha bila gharama yeyote ya huyo anayetarajiwa na "Chibu Dangote", maana ndoa yao bado haijavunjika na "Bossy Lady".

Ni ngumu kumesa lakini ndiyo ukweli wenyewe huo.
 
Pdidy nimekuona toa maoni yako kuhusu wasiwasi wa Emma kuchapiwa na mch. Gwajima!
Usigusemasihi was bwana walakuwadhi manabii zake!!! Mkuu hii kitabu cha biblia zab105:15. Sikilakitucha kudos main icing one nagawaneno LA Mungu
 
Duuuu,usanii mgumu hapo tu...yani cri na udhaifu wa ndani kwenye media??? cpendi maisha hayo kabisaaaa...ndoa ina changamoto zake nyng ila zikifika kwny media haziwezi kuisha mn ya ukweli na hata ya uongo husemwa!Mungu bariki ndoa za watoto wako
 
Aaah wapi!!! yuko right kabisa,toto limefanana na Gwajima kama photocopy asemeje huo ndo ukweli faida ya kutoka na gwajima ndo hiyo,labda hakusema wazi ni mtoto wa mchungaji fullstop
Huyo Emanuel Mbasha nadhani ni mjinga kabisa, hajitambui kabisa. Hakupaswa kutoa jibu la kitoto kama hilo. Alipaswa kusema Mtoto ni wangu(Hata kama sio wa kwake) au Mtoto sio wangu(kwa sababu zozote) au Bado sijajua kama ni wangu ama sio wangu...(Akimaanisha anasubiri uthibitisho wa kisayansi nk).
 
Na kwa nini mwandishi wa habari aulize swali la kipuuzi namna hiyo...

Unawezaje kumuuliza mume wa mtu habari ya mtoto aliyezaliwa na mkewe kuwa ni wa nani...

Ningekuwa mimi ni Mbasha nami ningemuuliza huyo mwandishi je ana uhakika mtu anayemuita baba ni baba yake mzazi kweli?

Huyo Emanuel Mbasha nadhani ni mjinga kabisa, hajitambui kabisa. Hakupaswa kutoa jibu la kitoto kama hilo. Alipaswa kusema Mtoto ni wangu(Hata kama sio wa kwake) au Mtoto sio wangu(kwa sababu zozote) au Bado sijajua kama ni wangu ama sio wangu...(Akimaanisha anasubiri uthibitisho wa kisayansi nk).
 
Duuuu,usanii mgumu hapo tu...yani cri na udhaifu wa ndani kwenye media??? cpendi maisha hayo kabisaaaa...ndoa ina changamoto zake nyng ila zikifika kwny media haziwezi kuisha mn ya ukweli na hata ya uongo husemwa!Mungu bariki ndoa za watoto wako

Kweli aiseee!
Kitu kikishafika kwenye media kusettle ni ngumu maana uchochezi nao huongezeka zaidi!
 
Back
Top Bottom