Emmanuel Mjema mkuu wa chuo CBE, Gidion Mjema mkuu wa chuo IFM

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
ni coincidence flan vyuo hivi vinashabihiana kwa mengi sasa wakuu wake wanashare surnames?
CBE kinaongozwa na prof Emanuel Mjema na IFM kinaongozwa na prof Gidion Mjema
 
Wakina wajema wengi ni wakuu wa mashule na vyuo. Nilishafanyaga research, babu yao alikuwa mwalimu wa kawaida kwenye shule flani kule upareni, so alichokifanya yule mzee ni kuanzaa kuwaamdaa wajukuu zake kisaikoloji na kiuwezo wakiwa wadogo kabisa.
 
ni coincidence flan vyuo hivi vinashabihiana kwa mengi sasa wakuu wake wanashare surnames?
CBE kinaongozwa na prof Emanuel Mjema na IFM kinaongozwa na prof Gidion Mjema
Anaitwa Godwin mjema na sio gidion mjema
 
Prof Mjema wa Cbe anastahili nafasi hiyo kwani jamaa uwezo wake ni mkubwa sana, amenifundisha Safety and maintenance nikiwa mwaka wa nne pale mlimani,
 
Sasa hivi CBE ni chuo cha maaana sana sio kama zamani kilikuwa kimejaa machangu ..we mtu aliyefeli vyuo vyote akienda CBE anatoka na first class..
 
CBE kusafisha jina lake ianitaji povu sana na madodoki bado kina sifa ya uchangu,tatizo location,CBE dodoma na CBE dar vipo mjini sana
 
unachoongea ni sahihi kabisa bado kina sifa ya uchangu. Ukitaka kuamini, siku pitia pale kama unaenda kula, ndo utaelewa. Juzi nilikuwa hapo accidentally kulikuwa na assessments nafanya. Hali ni mbaya bado
 
wakati mzee prof ema enzi hzo ema alikua na miaka miwili mzee mjema akapiga bao huku kwa mama godwin saiv prof godwin so hao ni ndugu
 
kama wanauwezo acha waongoze au tukupe ww uongoze ata kama mjukuu,mke,mjomba ake kama wanauwezo acha mana c wamesoma kwan we apo shida nn inayokuwasha kaka
ukiandika post fikiria mana ka mtu anauwezo asipewe mana kuna mjema mwingine mkuu wa chuo atuangalii icho tnaangalia how iz the leader competate
 
aya mbwa mzee
 
Wewe Baba yako si alikuaga busy kutongoza hakusoma unategemea atakua professor. Acha Ujinga wa Kuhoji vitu ambavyo havina logic unafikiria vitu rahisi sana hao ni Ma prof siyo kilaza kama mshua wako......Mi nahisi neno undugu huwa linatokana na mtu asiye na sifa kupewa kitengo lakini kama wana sifa sishangai kuwakuta office moja watu wa Familia moja.......
 
Back
Top Bottom