Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa Godwin mjema na sio gidion mjemani coincidence flan vyuo hivi vinashabihiana kwa mengi sasa wakuu wake wanashare surnames?
CBE kinaongozwa na prof Emanuel Mjema na IFM kinaongozwa na prof Gidion Mjema
Prof Mjema wa Cbe anastahili nafasi hiyo kwani jamaa uwezo wake ni mkubwa sana, amenifundisha Safety and maintenance nikiwa mwaka wa nne pale mlimani,
CBE kusafisha jina lake ianitaji povu sana na madodoki bado kina sifa ya uchangu,tatizo location,CBE dodoma na CBE dar vipo mjini sanaSasa hivi CBE ni chuo cha maaana sana sio kama zamani kilikuwa kimejaa machangu ..we mtu aliyefeli vyuo vyote akienda CBE anatoka na first class..
CBE kusafisha jina lake ianitaji povu sana na madodoki bado kina sifa ya uchangu,tatizo location,CBE dodoma na CBE dar vipo mjini sana
Sasa hivi CBE ni chuo cha maaana sana sio kama zamani kilikuwa kimejaa machangu ..we mtu aliyefeli vyuo vyote akienda CBE anatoka na first class..
kama wanauwezo acha waongoze au tukupe ww uongoze ata kama mjukuu,mke,mjomba ake kama wanauwezo acha mana c wamesoma kwan we apo shida nn inayokuwasha kaka
ukiandika post fikiria mana ka mtu anauwezo asipewe mana kuna mjema mwingine mkuu wa chuo atuangalii icho tnaangalia how iz the leader competate