Emmanuel Nchimbi amestaafu lini Ubalozi? Kaapishwa Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa balozi Brazil

Hawezi kuwa rais uyo
 

Kifukwe, Ipyana Malecela!!
 
Moumbabu ni wewe ambaye unaleta Revelations
 
Nafasi nyingine ni kuwasaidia walioingia kwenye mfumo wa kula keki ya taifa kwenda kupumzika.
 
Moumbabu ni wewe ambaye unaleta Revelations
Yaani ulivyo mjinga unafikiri Dr. Nchimbi ataogopa kugombea kwa sababu yako wewe unayebwabwaja hapa jukwaani? Kwanza jamaa yuko measured and he calculates every move he makes
 
Kwa hiyo ukiwa na influence tu unakuwa Rais au sio??
 
Dr Nchimbi pamoja na yote, namheshimu alijitoa mhanga pamoja na Sophia Simba kueleza wazi kwamba mchakato wa kumpata mgombea urais ndani ya CCM 2015 haukuwa credible na kwamba wanaopendwa ndio wanaoenguliwa. Hatimae tukampata JPM ambako yaliyobaki ni maumivu tunayojaribu kuyasahau...ana element za ujasiri na ilimgharimu sana politically.
 
Rais wa TFF? 😳
 
Tangu ulipotangazwa uteuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…