Emmanuel Nchimbi amestaafu lini Ubalozi? Kaapishwa Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa balozi Brazil

Emmanuel Nchimbi amestaafu lini Ubalozi? Kaapishwa Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa balozi Brazil

Nadhani 1990-1995 Mwenyekiti akiwa John John Guninita (RIP). Mkuu wa mradi alikuwa Didas Masaburi. Kwenye mradi huo ndipo alipopata hela alizojengea chuo cha mambo ya procurement kule Chanika
Hapana , japo sina kumbukumbu nzuri kwa vile sikuwahi kuwa mwanaccm lakini Guninita na Katibu wake Sukwa Said Sukwa sidhani kama bado walikuwa uvccm kwa mwaka huo
 
China na Tz kuna muingiliano wa kihistoria na kibiashara! Sasa

Kuna mtu kwenye familia au ukoo wako amewahi kufikia nafasi alizoshika Dr.Nchimbi? Au ndio ile hulka ya Watz kuwachukia watu wenye mafanikio na kuwaita wezi, freemasons n.k? Mtu aliyekuwa kwenye kamati kuu ya CCM unamuita hopeless! Una akili au umebeba embe bolibo kichwani?
Uhusiano wako wa kimapenzi na yeye usiwaletee watanzania wote. Nchimbi anaweza kuwa Rais wa Familia yenu vilaza. Siyo Tanzania. Usitutukane watanzania kuwa na Rais wa namna yake. Mimi nimeshika nafasi muhimu za Kitaifa na Kimataifa. Nchimbi hata angepewa nafasi gani.... HAWEZI KUJA KUWA RAIS WA TANZANIA. HAITOTOKEA. KAMA UNAMPENDA SANA UWE UNAKUNYWA NAYE KAHAWA NA KULALA NAYE
 
Upfront!! Nchimbi anakuwa overrated, hana uwezo wowote. Isitoshe kusema yeye ndiyo chimbuko la kuteka watu. Akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani ndiye aliyeratibu utekwaji wa Dr Ulimboka, bomu la Mbauda Kanisani na Kaloleni Arusha.

Huyu japo ana DNA kama ya Bashite, hafai kabisa
 
MI namfahamu kwa ukaribu. hafai kabisa kuwa hata Mbunge acha kuwa Rais. ni aibu hata mtu kumfikiria nchimbi kuwa anaweza kuwa Rais. ni aibu sana. haifahi hata kufikiria jambo hilo kwa nchimbi.
 
Upfront!! Nchimbi anakuwa overrated, hana uwezo wowote. Isitoshe kusema yeye ndiyo chimbuko la kuteka watu. Akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani ndiye aliyeratibu utekwaji wa Dr Ulimboka, bomu la Mbauda Kanisani na Kaloleni Arusha.

Huyu japo ana DNA kama ya Bashite, hafai kabisa
Lengo la Hilo bomu la kaloleni ilikuwa nini
 
Naona mheshimiwa Rais leo amemuapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Brazil.
Hiyo nafasi ilikuwa inashikiliwa na Emmanuel Nchimbi.

Amestaafu au nin kimetokea?
View attachment 2034750
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Brazil leo tarehe 06 Desemba, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,akiwa katika picha ya pamoja na Prof. Adelardus Lubango Kilangi mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Barazil leo tarehe 06 Disemba 2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.
 
Wewe ni mpumbavu kabisa! Kwa taarifa yako Dr Nchimbi ndio next president wako tuone utamfanya nini! Yaani umeshiba kiporo cha maharage ya jana unaanza kutishia nyau humu jukwaani. Unafikiri kwanini Magufuli alimpeleka mbali ili kuondoa influence yake nchini?
ana influence gani bhana? hajawahi kuwa na influence yoyote kuanzia jukwaani wala mezani
ni vile tukuwa kwenye chama kwa muda mrefu basi kubebana kunaendelea
 
Wednesday, May 11, 2022​

Brasilia, Brazil

BALOZI ADELARDUS KILANGI AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA BRAZIL​

Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Mhe. Prof. Adelardus Kilangi akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Brazil, Mhe. Jair Bolsonaro wakati wa hafla iliyofanyika hivi karibuni katika Ofisi za Rais za Palacio Do Planalto zilizopo Brasilia, Brazil

Mhe. Rais Bolsonaro akionesha Hati za Utambulisho za Mhe. Balozi Kilangi mara baada ya kuzipokea wakati wa hafla iliyofanyika hivi karibuni katika Ofisi za Rais za Palacio Do Planalto zilizopo Brasilia, Brazil
 
Back
Top Bottom