Emmanuel Nchimbi amestaafu lini Ubalozi? Kaapishwa Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa balozi Brazil

Ubalozi unapokuwa ni zawadi - kupewa au kunyanganywa ni wakati wowote.
 
watu wa kusini hao akina kambona type...,ila cha ajabu he is not popular alikokuwa mbunge
 
[emoji3][emoji38][emoji38]
 
Kile kikundi chao pamoja na Sophia Simba naona ndo wakati sasa
 
Nchimbi awe Rais wa Tanzania ! hii tabia ya uchawa isipopigwa marufuku itaharibu vijana wallah .
 
Mhula wa ubalozi ni miaka 3 mkuu- nashangaa kuwa hujui hilo halafu tuko wote humu
 
Mmh huyu huyu nchimbi Emanuel
 
Anamaanisha baada kifo Cha Magufuli kipindi hicho kigogo 2014 alikuwa Moto au hai kweli, alivujisha taarifa kuwa Nchimbi ndiye Makamu wa Samia. Taarifa ilienda mbali kuwa yupo njiani kurejea nyumbani.
Nchimbi alikuwa kijana wa JK ila aligeukwa alipotakiwa kujiuzulu kupitia kwa Pinda! Hivi unadhani JK ambaye ndiye Injinia ya Samia angelikubali? Wakati urafiki wao uliingia doa? Kigogo alikuwa overrated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…