Aisee tuombe radhi wangoni. Tumekukosea nini hadi utudhalilishe hatuamini?Mngoni huwa haaminiki hasa kwa wanaomjua mngoni kiundani, ngoja ipite ntawaambia kitu, kama Madam Hassan anafanya kwa dhamira ya Urais, Urais wa 2025 asahau hatopata vita ataiona na atashindwa na kupata aibu kubwa
Yaani Chakubanga?Mpira unadondokea Cuba huu.
ni kweli mngoni kuna angle kadhaa katika maisha haaminiki completely. Mfano kwa, uongo, unafiki na umalaya, ukikataa umezaliwa mjiniAisee tuombe radhi wangoni. Tumekukosea nini hadi utudhalilishe hatuamini?
Labda wewe bado mtoto, EN gani unayesema ataunganisha makundi? Huyuhuyu 2015 alikuwa na kundi lake baada ya Lowassa kukatwa alitoka na kundi lake wakaenda nje ya ukumbi na kuanza kuimba...Emmanuel Nchimbi ni mwanasiasa anayemudu mapambano, anayejua historia ya chama na misingi yake.
Kwa kujenga chama na kuondoa makundi, ni yeye pekee ndiye ana uwezo mkubwa wa kuishika vilivyo nafasi hiyo. Ni fundi wa mikakati, na Siasa za saiti, hata ikibidi Siasa za mapambano.
Namshauri SSH amteue Emmanuel Nchimbi, ni chaguo Bora.
Nchimbi amepambana na wanasiasa wahuni ndani ya chama, na hatashindwa kupambana na wahuni wengine ambao wamepenyapenya kwenye chama na kupata vinafasiView attachment 2828195
Naunga mkono hoja, this is the right man!, the right choice!.Emmanuel Nchimbi ni mwanasiasa anayemudu mapambano, anayejua historia ya chama na misingi yake.
Kwa kujenga chama na kuondoa makundi, ni yeye pekee ndiye ana uwezo mkubwa wa kuishika vilivyo nafasi hiyo. Ni fundi wa mikakati, na Siasa za saiti, hata ikibidi Siasa za mapambano.
Namshauri SSH amteue Emmanuel Nchimbi, ni chaguo Bora.