Emmanuel Nchimbi anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, anaweza kujenga chama, kudhibiti nidhamu ya chama, akiwemo yule bwana mdogo

Emmanuel Nchimbi anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, anaweza kujenga chama, kudhibiti nidhamu ya chama, akiwemo yule bwana mdogo

Emmanuel Nchimbi ni mwanasiasa anayemudu mapambano, anayejua historia ya chama na misingi yake.

Kwa kujenga chama na kuondoa makundi, ni yeye pekee ndiye ana uwezo mkubwa wa kuishika vilivyo nafasi hiyo. Ni fundi wa mikakati, na Siasa za saiti, hata ikibidi Siasa za mapambano.

Namshauri SSH amteue Emmanuel Nchimbi, ni chaguo Bora.

Nchimbi amepambana na wanasiasa wahuni ndani ya chama, na hatashindwa kupambana na wahuni wengine ambao wamepenyapenya kwenye chama na kupata vinafasi.

View attachment 2828195

Pia soma: Breaking News: - Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM
Da nyie watu wa propaganda mnazingua sana mkishachukua posho zenu tayari mko radhi hata kuuza utu wenu. Hii si kusema chama chenu mmekirudisha kule kule tu kwani Nchimbi ni waleo CCM na kundi lake si ndio limeshika hatamu sasa. Onyesheni records zake zilizotukuka katika kuwaondolea wanachi shida zao zaidi kudumisha fikra za mwenyekiti.
Hapa wana CCM ni kweli hamkuridhishwa na utawala wa Mwenda zake mnachokifanya ni kufuta kabisa nyao na kuziba vilaka vyote ili msirudi huko, hapa anabaki Bashite tu tena kwa sababu haeleweki yuko upande gani na kwa kipindi hiki cha transition mnafikiri atakuwa na msaada. Wakina chongolo wote ilijulikana ni kuwa ilikuwa na kipindi cha mpito tu. Kama angechaguliwa Polepole au Bashiri hapo sawa Nchimbi mwenzetu na ukiangalia kwa nddaani aliyekalia kuti kavu hapa ni Madame presidaa sababu anaowasogeza karibu wote wanataka kumrithi au awapishe.
 
Yereyere, nyugu nyugu wa mamaaa, eyaaa, nyugunyugu wa baaaaba eyaaa, nyugunyu sanga malemaa eyaa, ati wa babaaa, konjera kato, konjera kato
 
Emmanuel Nchimbi ni mwanasiasa anayemudu mapambano, anayejua historia ya chama na misingi yake.

Kwa kujenga chama na kuondoa makundi, ni yeye pekee ndiye ana uwezo mkubwa wa kuishika vilivyo nafasi hiyo. Ni fundi wa mikakati, na Siasa za saiti, hata ikibidi Siasa za mapambano.

Namshauri SSH amteue Emmanuel Nchimbi, ni chaguo Bora.

Nchimbi amepambana na wanasiasa wahuni ndani ya chama, na hatashindwa kupambana na wahuni wengine ambao wamepenyapenya kwenye chama na kupata vinafasi.

View attachment 2828195

Pia soma: Breaking News: - Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM
ndio maana bwana mdogo kaondolewa
 
Back
Top Bottom