Emmanuel Nchimbi anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, anaweza kujenga chama, kudhibiti nidhamu ya chama, akiwemo yule bwana mdogo

Mimi nimemaanisha Oysterbay Primary. Ndio wale wale tu.

Waarabu wa Pemba, mnajuana kwa vilemba.

Hamjakutana barabarani, mnajuana tangu kwa Mchambawima na St. Peters.
Na mimi niliposema Mkuu Kiranga , usikute..., nilimaanisha usikute wewe ndio wale wale!. Daktari wa uchumi wa buluu alinitangulia madasa 2, tukaja kukutana tena Tambaza!. Kwa data zako unaonyesha na wewe ni wale!.
Wewe ni enzi zipi za Ngalawa, Nyalali au Rulegula?.
P
 
Na mimi niliposema Mkuu Kiranga , usikute..., nilimaanisha usikute wewe ndio wale wale!. Daktari wa uchumi wa buluu alinitangulia madasa 2, tukaja kukutana tena Tambaza!. Kwa data zako unaonyesha na wewe ni wale!.
P
Mimi nimekaa kati ya channel zote za mjini za zamani, kuanzia Kwa Kalumuna, Super Star mpaka OFC. Don Bosco mpaka Magunia.

Nawaona tu mnavyojipanga kula.
 
Hiyo nafasi apewe Lucas mwashamba amechoka kupokea kofia na kanga za ccm nae anakujua chooni mjue!!
 
Mimi nimekaa kati ya channel zote za mjini za zamani, kuanzia Kwa Kalumuna, Super Star mpaka OFC. Don Bosco mpaka Magunia.

Nawaona tu mnavyojipanga kula.
Duh...!. Ulipomtaja Kalumuna!, umenikumbusha mbali, maana summit ya Tambaza ndipo nilipoanzia ujana!, kuna kitu kilikuwa kinapigwa... sijui ni cha Arusha kile!, harufu tuu unapenda!.

Nimecheka na ku smile mwenyewe uliposema unatuona tunavyojipanga kula!. It's very unfortunately mimi ni kozi mwana mandanda kulala njaa kupenda!. I have never lobbied kula japo fursa za lobbying nilikuwa nazo kibao!. Hivyo endelea kuwaangalia hao wanaojipanga na sisi tukiwaangalia!. Tatizo sio kula, kula ni kula tuu tatizo ni kukomba mboga!. Kuna watu wanakula mpaka kutaka kukomba mboga!.
P
 
Summit wamepiga bati siku hizi.

Mara ushasahau "Wewe Mayala kwetu maana yake ni njaa"? 🀣🀣🀣

All the best mkuu, hayo ni mambo yenu mtapanga wenyewe mnavyotaka.
 
Mimi nimekaa kati ya channel zote za mjini za zamani, kuanzia Kwa Kalumuna, Super Star mpaka OFC. Don Bosco mpaka Magunia.

Nawaona tu mnavyojipanga kula.
Duh...!. Ulipomtaja Kalumuna!, umenikumbusha mbali, maana summit ya Tambaza ndipo nilipoanzia ujana!, kuna kitu kilikuwa kinapigwa... sijui ni cha Arusha kile!, harufu tuu unapenda!.

Nimecheka na ku smile mwenyewe uliposema unatuona tunavyojipanga kula!. It's very unfortunately mimi ni kozi mwana mandanda kulala njaa kupenda!. I have never lobbied kula japo fursa za lobbying nilikuwa nazo kibao!. Hivyo endelea kuwaangalia hao wanaojipanga na sisi tukiwaangalia!. Tatizo sio kula, kula ni kula tuu tatizo ni kukomba mboga!. Kuna watu wanakula mpaka kutaka kukomba mboga!.
P
 
Huyo unayemsifu unajua alifanya nini alipokuwa waziri wa mambo ya ndani? Acha ushabiki. Ninachokiona nchi iko katikati ya ukabila. Kuna mjitu inashabikia kila mtu, hata muovu, bora awe kabila lake.

Anaijua siasa wakati aliingia chama kimekomaa! Ngoja aingie aanze kukomoana tena na akina Nape. Tunajua walivyokomoana huko UVCCM akishirikiana na Lowasa. Aeleze na ufisadi wa jengo la UVCCM.
 
Mama amekuelewa, mapendekezo yako yametimia.
Ila sijui mzee Cigwiyemisi ana fikra gani.
 
Hv ww huwa uko ndani ndani ndaaaaaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…