Emmanuel Nchimbi atalipa kisasi

Paulo Makonda anaondoka, Nchimbi amesema anapenda mijadala na watu wenye akili, sasa Makonda hana akili.

and, indeed, Makonda will be ousted unceremoniously.

Alikataa pema pa Chongolo, sasa kaletewa mwamba.
Wewe ndiye una matatizo ya kiakili .lakini kila mtanzania mwenye akili Timamu anatambua uwezo mkubwa wa kiakili na kiuongozi alionao mheshimiwa Makonda na mchango mkubwa katika Taifa letu. Ni Makonda alipokuwa RC Dar es salaam tuliona namna alivyoleta matokeo chanya na mabadiliko makubwa ya kiutendaji na huduma bora kwa wakazi wa jiji la Dar.hata Ndani ya UVCCM na chama kwa ujumla Mh Makonda amekuwa na mchango mkubwa sana na wakati wote amekipigania na kukitetea chama kwa nguvu zake zote. Ndio maana kwa kutambua uwezo wake mkubwa na ushawishi alio nao katika taifa letu ndio maana Mh Rais wetu na mwenyekiti wetu Mh Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan aliamua amrejeshe uongozini ili aje afanye kazi ya kukijenga na kukiimarisha chama .

Wewe huoni hadi CHADEMA wakisikia jina lake wanapata presha na kupoteza ufahamu?
 
Samahani Nifah nilikuwa naomba urekebisha hapo ulipoandika kiwete maana naona herufi moja umeisahau.
 
Ni suala la muda tu tutaona vumbi likitimka ndani. 😢
Hizo ni dua za kuku au mawazo ya kifisi kusubiri mkono mdondoke. CCM Ni taasisi imara na yenye mfumo imara ambayo hakuna aliye mkubwa ndani ya chama.kila kitu kinafanyika kwa mujibu wa katiba ya chama ,kanuni ,sheria , taratibu na miongozo mbalimbali ya chama. CCM itaendelea kuwa imara na wala haitatetereshwa hata kidogo.
 
Siyo kweli, Emmanuel Nchimbi huwa ni mwadilifu sana kwa mamlaka inayompa nafasi. Kumhukumukwa tukio la 2015 ni kukosa ufahamu wa siasa za Tanzania. Kwani ni mbunge gani wa CCM au mwanasiasa wa CCM ambaye hakuwa anamuunga Edward Lowassa mwaka 2015? Ni Kikwette tu na ndiyo maana walipoimba wimbo "tunaimani na Lowassa akapiga makofi'. Ile ni ajali tu katika siasa
 
Usichokijua ni kwamba CCM sio kampuni ya mtu binafsi kwamba kuna kulipa "kisasi".Mambo yote yanaamuliwa kwa vikao na sio majungu au uzushi.
 
Vyovyote vile....Heri Nchimbi amekuwepo sasa kuliko mwingine..
 
Hayo ni mawazo yako sio ya Emanuel Nchimbi
 
mkuu Nifah

you are really versatile...now I know.

πŸ‘πŸΎ
 
Paulo Makonda anaondoka, Nchimbi amesema anapenda mijadala na watu wenye akili, sasa Makonda hana akili.

And, indeed, Makonda will be ousted unceremoniously.

Alikataa pema pa Chongolo, sasa kaletewa mwamba.
Chadema akili hamna kbs kwani Nchimbi Makonda wanashindania nini wkt ni timu moja yaani CCM iteue katibu Mkuu ili aje ashindane na Makonda tena daah aisee chadema sijui mnfikiria Kwa kutumia kiungo gani
 
Pole sana maana ulituhakikishia kuwa mwaka hauishi kabla ya Paulo kuwa GS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…