Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Huu ndio ushauri wangu kwa Dkt. Nchimbi kama kweli anaguswa na uovu unaoendelea dhidi ya wapinzani.
Kwahiyo, kama hawezi au ameshauri na hasikilizwa na bado yuko nao, bora tu akae kimya tujue nae ni wale wale.
NB: Atajijengea heshima kwa kujiuzulu kuliko kusubiri wamuondoe kwa hilia .