Emmanuel Nchimbi kugombea uraisi October 2025

kante mp2025

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2022
Posts
631
Reaction score
1,192
Amini usiamini 2025 Dkt.Emmanuel Nchimbi ataipeperusha bendera ya CCM uchaguzi wa uraisi 2025.

Najua wengi hawajaelewa ila kwa sisi wataalamu wa masuala ya siasa za kikanda na kimataifa tunajua jinsi CCM walivojipanga kuhakikisha 2025 wanashinda kwa kishindo kizito mno.

Kama kawaida najua wengi mtabisha ila sisi ndo mataikuni, Raisi samia huenda akaenda kuwa makamu wa raisi kwa awamu nyingine tena.

Kwa mnaobisha subirini mwezi October kuna chenga ya kiushindi inaenda kupigwa.

Raisi samia yuko smart sana, Nchimbi kasogezwa kimkakati, mama atampisha kisha Nchimbi ndio atakuwa jemedari Yoshua wa CCM
 
Inawezekana akawa Nchimbi, Mpango au mwingine. Ni mbinu nzuri ya kuepuka sarakasi na vurugu ndani ya CCM kama zile za 2015, kufikia November Samia atakuwa Kizimkaz.
 
Watu hawajiulizi kwanini Nchimbi katangazwa mapema, mama anataka astaafu zake hivo atakuwa kaandaa majemedari wa kumsaidia kazi mapema
 
Amini usiamini 2025 Dkt.Emmanuel Nchimbi ataipeperusha bendera ya CCM uchaguzi wa uraisi 2025.

Najua wengi hawajaelewa ila kwa sisi wataalamu wa masuala ya siasa za kikanda na kimataifa tunajua jinsi CCM walivojipanga kuhakikisha 2025 wanashinda kwa kishindo kizito mno.

Kama kawaida najua wengi mtabisha ila sisi ndo mataikuni, Raisi samia huenda akaenda kuwa makamu wa raisi kwa awamu nyingine tena.

Kwa mnaobisha subirini mwezi October kuna chenga ya kiushindi inaenda kupigwa.

Raisi samia yuko smart sana, Nchimbi kasogezwa kimkakati, mama atampisha kisha Nchimbi ndio atakuwa jemedari Yoshua wa CCM
Labda wafanye hivyo, vinginevyo Lissu anabeba ushindi.., hata wakiiba kira, hazitatosha
 
Back
Top Bottom