kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Huelewi mambo tatizoTafuta kazi ya kufanya
At least umeielewa game🥂Nikweli Wanampango huo kumsimamisha Nchimbi,Lakini ndio utakuwa uchaguzi wamwisho wa ccm hii inayoiona sasa
Haitokaa itokee., mama atampisha kisha Nchimbi ndio atakuwa jemedari Yoshua wa CCM
Hafi mtu ila itakuwa hivyo save hiiHaitokaa itokee.
Labda afe mtu.
Watu hawajiulizi kwanini Nchimbi katangazwa mapema, mama anataka astaafu zake hivo atakuwa kaandaa majemedari wa kumsaidia kazi mapemaInawezekana akawa Nchimbi, Mpango au mwingine. Ni mbinu nzuri ya kuepuka sarakasi na vurugu ndani ya CCM kama zile za 2015, kufikia November Samia atakuwa Kizimkaz.
Basi ataomba kustaafuKwamba Rais atoke katika urais kushuka kuwa makamu?
Akili za CCM hizi hizi tunazozijua?
Au hujawahi kuonja ladha ya uongozi wewe !!
Labda wafanye hivyo, vinginevyo Lissu anabeba ushindi.., hata wakiiba kira, hazitatoshaAmini usiamini 2025 Dkt.Emmanuel Nchimbi ataipeperusha bendera ya CCM uchaguzi wa uraisi 2025.
Najua wengi hawajaelewa ila kwa sisi wataalamu wa masuala ya siasa za kikanda na kimataifa tunajua jinsi CCM walivojipanga kuhakikisha 2025 wanashinda kwa kishindo kizito mno.
Kama kawaida najua wengi mtabisha ila sisi ndo mataikuni, Raisi samia huenda akaenda kuwa makamu wa raisi kwa awamu nyingine tena.
Kwa mnaobisha subirini mwezi October kuna chenga ya kiushindi inaenda kupigwa.
Raisi samia yuko smart sana, Nchimbi kasogezwa kimkakati, mama atampisha kisha Nchimbi ndio atakuwa jemedari Yoshua wa CCM
Mama ataomba kupumzika na kumuachia kijiti Nchimbi nimeota hivoLabda wafanye hivyo, vinginevyo Lissu anabeba ushindi.., hata wakiiba kira, hazitatosha
Labda wafanye hivyo, vinginevyo Lissu anabeba ushindi.., hata wakiiba kira, hazitatosha
kumbe umeota? Haya endelea kuotaMama ataomba kupumzika na kumuachia kijiti Nchimbi nimeota hivo