Emmanuel Nchimbi kugombea uraisi October 2025

Maruhani yameanza mapema mapema. Hahaha Sijui Rais anawachoma choma Nini mpk watu wanashindwa kumkubali. Huyu ni Rais mezeni hiyo sukumia na tonge la Ugali wa mtama. Na maji. Na Bado ana ZAWADi nyingine watanzania watampa hapo mbele.

All the best and goodness to her.
 
Ungekuwa yule jamaa mtabiri wetu humu maharage ya ukweni sawa
 
Inawezekana; Assumption: Waliitisha kikao cha dharura sijui kile jirani na kikao cha CHADEMA.

Inawezekana waliamua hivyo ili kujiandaa mapema na kutegeshea kwa kumtafuta mtu mult purpose kwamba akishinda Mwamba, mama anarudi mana wanajuana na Mwamba, akishinda Lisu anaingia mbadala ambaye ndiyo Nchimbi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…