Emmanuel Nkulila yu wapi?

client3

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2007
Posts
2,331
Reaction score
3,188
tanzaniiiiiia hakuna mrembo kama wewe.... ni moja ya vibao vyake mwororrrro kabisa.
yuko wapi siku hizi.
 
kitambo ile alipokuja kutangaza nyimbo zake alisema anafanyia shughuli zake marekani, naona hata tv stations na radio siku hizi zimeweka miziki yake kapuni
 
Nilikutana nae uwanja wa ndege mtwara akaniambia alikuwa ametoka kusalimia wajomba zake masasi. I hope bado yuko huko huko mtwara
 
Dah jamaa namkubali sn. Alikuwa fresh tu kitaa tumeishi wte mtaa mmoja cnza kumekucha ukuta wa posta.
AlKwao wanazo afu jamaa hajisikii.
Alimpandisha pipa tozi Mike Mhagama kwenda duniani (kwa Obama),Mike alipofika tu akapiga simu Radio one kuwa sasa yupo matawi ya juu kwani sasa anaweza''kutengeneza kompyuta''enzi hizo tunatumia flop disket
 
tehe tehe mkuu kumbe unakumbuka masela matozi sana walikuwa enzi zile....nakumbuka kuna kipindi walienda hewani bbc swahili ilikuwa ni mwaka mpya au krisimas machizi walikuwa wanamwaga kiswahili kama ung'eng'e hivi......ndio mara ya kwanza kusikia ikitamkwa imanyueeli from loss-an-je-les
......ila mchizi mtu fresh kimtindo hana namna gani zile....
 
Nilimwona akihojiwa na TBC1 mwanzoni mwanzoni mwa mwezi huu kipindi cha Jambo Tanzania.Akadai siku hizi kaweka kando mambo ya muziki anajishughulisha na masuala ya habari akatoa ahadi kipindi cha kampeni uchuguzi wa USA atatuletea yanayojiri.
 
Alimpandisha pipa tozi Mike Mhagama kwenda duniani (kwa Obama),Mike alipofika tu akapiga simu Radio one kuwa sasa yupo matawi ya juu kwani sasa anaweza''kutengeneza kompyuta''enzi hizo tunatumia flop disket

Kweli JF ni zaidi ya social netiweki..
 
Nilimwona akihojiwa na TBC1 mwanzoni mwanzoni mwa mwezi huu kipindi cha Jambo Tanzania.Akadai siku hizi kaweka kando mambo ya muziki anajishughulisha na masuala ya habari akatoa ahadi kipindi cha kampeni uchuguzi wa USA atatuletea yanayojiri.

Inavyojulikana na kusadikika music unalipa sana USA..ama ndio fani hana ameamua kufanya plan B....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…