BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Alimpandisha pipa tozi Mike Mhagama kwenda duniani (kwa Obama),Mike alipofika tu akapiga simu Radio one kuwa sasa yupo matawi ya juu kwani sasa anaweza''kutengeneza kompyuta''enzi hizo tunatumia flop disket
kitambo ile alipokuja kutangaza nyimbo zake alisema anafanyia shughuli zake marekani, naona hata tv stations na radio siku hizi zimeweka miziki yake kapuni
arifu mike sio mwenzio aisee....anakula mapizza,matomato sosi miksa mayonaizi majuuMike mhagama naye yuko wapi siku hizi nae?
Inavyojulikana na kusadikika music unalipa sana USA..ama ndio fani hana ameamua kufanya plan B....
arifu mike sio mwenzio aisee....anakula mapizza,matomato sosi miksa mayonaizi majuu
A na B yote majibu
Jamaa alikuwa mkali sana kwenye muziki kipindi kile! Mwenye zile nyimbo aweke basi jamvini!
huyu bwana wimbo wake PAIN IN ME naupendaga sana-
naona kawa kimya sana kwa muda sasa
FWATA HII LINKI USIKILIZE NYIMBO ZAKE
Bongoline - Music View - Emmanuel Nkulila
tanzaniiiiiia hakuna mrembo kama wewe.... ni moja ya vibao vyake mwororrrro kabisa.
yuko wapi siku hizi.
fwata link kwenye post yangu # 7
nafikiri bado yuko california. anaishi marekani
Oooh cool, still doing music?