Emmanuel Nkulila yu wapi?

Emmanuel Nkulila yu wapi?

Alimpandisha pipa tozi Mike Mhagama kwenda duniani (kwa Obama),Mike alipofika tu akapiga simu Radio one kuwa sasa yupo matawi ya juu kwani sasa anaweza''kutengeneza kompyuta''enzi hizo tunatumia flop disket

Me like this sana...lol! Nimecheka mpaka basi..JF ni raha
 
Jamaa alikuwa mkali sana kwenye muziki kipindi kile! Mwenye zile nyimbo aweke basi jamvini!
 
Huyu jamaa sijui yuko wapi sasa ivi na anafanya nini,aliwah kutamba miaka hiyo na ngoma yake ya PAIN IN ME..
 
Yupo USA anapiga box


Sent from my EyePhone
 
Mpambe wa mike pesambili mhagama. Na ndiye aliyemrusha huko unyamwezini kwa kumpamba tu radio one
 
Wakuu, huyu jamaa nilitokea kumkubali sana enzi zile ya ile debut track yake ' Why can't you change your love for me' ambayo alimshirikisha mdada gani sijui. Back then, it was among my favorite songs. Ila nashindwa kuelewa kama jamaa aliendelea na mziki or currently where he is and what he's doing. Anayefahamu tafadhali naomba anijuze!
 
Back
Top Bottom