chingyeddy
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 339
- 136
Anaishi Mbezi ya Goba, pamoja na wadogo zake Ema, Peter na Stevie Nkulila. Nyumba alioijenga yeye na majuzi alikuja kuangalia ujenz unaendeleaje wa ukuta alipokuja Pasaka.Anaish WAP mamake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaishi Mbezi ya Goba, pamoja na wadogo zake Ema, Peter na Stevie Nkulila. Nyumba alioijenga yeye na majuzi alikuja kuangalia ujenz unaendeleaje wa ukuta alipokuja Pasaka.Anaish WAP mamake
Mkuu hali vp..huyu bwana wimbo wake PAIN IN ME naupendaga sana-
naona kawa kimya sana kwa muda sasa
FWATA HII LINKI USIKILIZE NYIMBO ZAKE
Bongoline - Music View - Emmanuel Nkulila
tanzaniiiiiia hakuna mrembo kama wewe.... ni moja ya vibao vyake mwororrrro kabisa.
yuko wapi siku hizi.
Goba ndio home mkuuAnaishi Mbezi ya Goba, pamoja na wadogo zake Ema, Peter na Stevie Nkulila. Nyumba alioijenga yeye na majuzi alikuja kuangalia ujenz unaendeleaje wa ukuta alipokuja Pasaka.
ahahaaaaOooooh no..u giv me hanging ol th time, why do u say that u love me? while I know that u don't .....lol
sijui hata kama nimepatia mana enz izo sijui nko la pili English ziro ful kumung' unya maneno....
Huyu jamaa sijui yuko wapi sasa ivi na anafanya nini,aliwah kutamba miaka hiyo na ngoma yake ya PAIN IN ME..
Nyakato ipi Nundu,Buzuruga,Mahina au sokoni...anaendesha Bodaboda maeneo ya Nyakato
Aisee huyu jamaa kumbe yupo!! abarikiwe huko aliko.Anaishi Mbezi ya Goba, pamoja na wadogo zake Ema, Peter na Stevie Nkulila. Nyumba alioijenga yeye na majuzi alikuja kuangalia ujenz unaendeleaje wa ukuta alipokuja Pasaka.
sana Mkuu, wacha kabisaKweli huyu jamaa alikuwa na mvuto kimziki
Hoyce mwana wa Teeemu alikuwa anamkula kama sikosei enz hizohivi huu si nilisikia alimuimbia Miss Tanzania?
Jasmine flowerEmmanuel nkulila hakuimba zanzibar bali " taanzania nia nia hakuna mrembo kama wewe", mchizi alikuwa mkali sana,
Yule manzi aliyekuwa anaimba nae kama cjakosea alikuwa anaitwa jas(z)min wakuu