GE2025 Emmanuel Ntobi achukua fomu ya kuwania ubunge Shinyanga Mjini kupitia ACT Wazalendo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mwanachama mpya wa ACT-Wazalendo, Emmanuel Ntobi leo Jumatatu, Juni 30, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama kugombea ubunge wa Shinyanga Mjini

Ntobi aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Shinyanga aliyehamia ACT-Wazalendo mwezi huu amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Juster Denis

ntobi.png

​
Chanzo: Mwananchi_official
 
Wanajifurahisha tu hawa
 
Back
Top Bottom