Emmanuel Ntobi awakaribisha akina Kinana, Nape kujiunga CHADEMA

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Kupitia kada wake mwandamizi ndugu Ntobi, CHADEMA imewakaribisha wanaCCM waliotumbuliwa kujiunga na chama chao wapige kazi.

=========

Kupitia ukurasa wake wa X (Zamani Twitter) kada huyo wa CHADEMA ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa wa Shinyanga ameandika "Karibuni CHADEMA tupige kazi" huku akiambatanisha maneno hayo na picha ya January Makamba, Nape Nnaeye na Abdulrahman Kinana.

Ntobi.PNG
 
Waoga hao, cha msingi wampigie magoti mama ili baadaye awafikirie kuwapa kazi nyingine hata za ubalozi Burundi ma Usherisheri.
 
Jambo msilo lijua watanzania sawa na usiku wenye Giza tele

Hizi ni drama zinatengenezwa kiufundi ili kupambaza watanganyika lakini baadae wanarudi Tena chama Cha mapinduzi. Sio rahisi kuhama hivyo.
 
Huna taarifa za ndani ndiyo maana unasema hivyo. Kuna fukuto la siku nyingi. Mimi kwanza sikutegemea kama wangekuwa mawaziri mpaka juzi walipoondolewa. Labda alikuwa anawasoma ili ajue nani ni nani. Kuhusu kurudi tena. Hili linawezekana kwa sababu kwenye kusaka madaraka, chochote kinaweza kutokea. Ila ni muhimu kujua kuwa hata wakirudi tena, siyo kwamba walikuwa wanachezea akili watu, la! Itakuwa ni kwa sababu ya ile kanuni kuwa hakuna adui wa kudumu kwenye kusaka madaraka bali kuna maslahi ya kudumu.
 
Umesomeka mkuu 👍
 
Kupitia kada wake mwandamizi ndugu Ntobi, CHADEMA imewakaribisha wanaCCM waliotumbuliwa kujiunga na chama chao wapige kazi.

=========

Kupitia ukurasa wake wa X (Zamani Twitter) kada huyo wa CHADEMA ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa wa Shinyanga ameandika "Karibuni CHADEMA tupige kazi" huku akiambatanisha maneno hayo na picha ya January Makamba, Nape Nnaeye na Abdulrahman Kinana.

Hawa watu wana matatizo; yaani hawajajifunza tu mambo ya "uliko tuko". Hawajapata somo la kumpokea Lowassa bado wanategemea watoke CCM kuja kuuokoa upinzani?
 
Hawajafurushwa kwenye chama. Uwaziri ni koti la fundi mshonaji, akiona limekupwaya anakuvua!
 
Kupitia kada wake mwandamizi ndugu Ntobi, CHADEMA imewakaribisha wanaCCM waliotumbuliwa kujiunga na chama chao wapige kazi.

=========

Kupitia ukurasa wake wa X (Zamani Twitter) kada huyo wa CHADEMA ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa wa Shinyanga ameandika "Karibuni CHADEMA tupige kazi" huku akiambatanisha maneno hayo na picha ya January Makamba, Nape Nnaeye na Abdulrahman Kinana.

Huyo anawakejeli tu na hata wao wenyewe hawathubutu kutoka CCM watakamatwa siku hiyo hiyo maana wote ni majizi salama yao ni kubakia ndani ya chama cha majizi wenzao wanalindana.
 
Back
Top Bottom