CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Hata na wewe umeingia kwenye huu mtego? Huyo anawakejeli tu,na unafikiri kwa makando kando yao wanaweza kutoka kwenye kiota chao kinachozalisha mafisadi?Hawa watu wana matatizo; yaani hawajajifunza tu mambo ya "uliko tuko". Hawajapata somo la kumpokea Lowassa bado wanategemea watoke CCM kuja kuuokoa upinzani?