MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Ana cheo gani hapo chadema?Kupitia kada wake mwandamizi ndugu Ntobi, CHADEMA imewakaribisha wanaCCM waliotumbuliwa kujiunga na chama chao wapige kazi.
View: https://x.com/Ntobi_/status/1817969988755452118?t=LYAQqfj7JBfuyvd3c4blsQ&s=19
Muulize MboweAna cheo gani hapo chadema?
Waambie CHADEMA wenzioHatuhitaji majizi ya kura wafie huko huko CCM.
CHADEMA inarudia makosa Yale Yale ya kukaribisha majiziKupitia kada wake mwandamizi ndugu Ntobi, CHADEMA imewakaribisha wanaCCM waliotumbuliwa kujiunga na chama chao wapige kazi.
View: https://x.com/Ntobi_/status/1817969988755452118?t=LYAQqfj7JBfuyvd3c4blsQ&s=19
hahahaha patheticMuulize Mbowe
Wewe si ndiye umeleta huo umbea hapa.Waambie CHADEMA wenzio
Huna taarifa za ndani ndiyo maana unasema hivyo. Kuna fukuto la siku nyingi. Mimi kwanza sikutegemea kama wangekuwa mawaziri mpaka juzi walipoondolewa. Labda alikuwa anawasoma ili ajue nani ni nani. Kuhusu kurudi tena. Hili linawezekana kwa sababu kwenye kusaka madaraka, chochote kinaweza kutokea. Ila ni muhimu kujua kuwa hata wakirudi tena, siyo kwamba walikuwa wanachezea akili watu, la! Itakuwa ni kwa sababu ya ile kanuni kuwa hakuna adui wa kudumu kwenye kusaka madaraka bali kuna maslahi ya kudumu.Jambo msilo lijua watanzania sawa na usiku wenye Giza tele
Hizi ni drama zinatengenezwa kiufundi ili kupambaza watanganyika lakini baadae wanarudi Tena chama Cha mapinduzi. Sio rahisi kuhama hivyo.
Umesomeka mkuu 👍Huna taarifa za ndani ndiyo maana unasema hivyo. Kuna fukuto la siku nyingi. Mimi kwanza sikutegemea kama wangekuwa mawaziri mpaka juzi walipoondolewa. Labda alikuwa anawasoma ili ajue nani ni nani. Kuhusu kurudi tena. Hili linawezekana kwa sababu kwenye kusaka madaraka, chochote kinaweza kutokea. Ila ni muhimu kujua kuwa hata wakirudi tena, siyo kwamba walikuwa wanachezea akili watu, la! Itakuwa ni kwa sababu ya ile kanuni kuwa hakuna adui wa kudumu kwenye kusaka madaraka bali kuna maslahi ya kudumu.
Ni Ushelisheli, sio Usherisheri,Waoga hao, cha msingi wampigie magoti mama ili baadaye awafikirie kuwapa kazi nyingine hata za ubalozi Burundi ma Usherisheri.
Hawa watu wana matatizo; yaani hawajajifunza tu mambo ya "uliko tuko". Hawajapata somo la kumpokea Lowassa bado wanategemea watoke CCM kuja kuuokoa upinzani?Kupitia kada wake mwandamizi ndugu Ntobi, CHADEMA imewakaribisha wanaCCM waliotumbuliwa kujiunga na chama chao wapige kazi.
=========
Kupitia ukurasa wake wa X (Zamani Twitter) kada huyo wa CHADEMA ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa wa Shinyanga ameandika "Karibuni CHADEMA tupige kazi" huku akiambatanisha maneno hayo na picha ya January Makamba, Nape Nnaeye na Abdulrahman Kinana.
CHADEMA ipi?. Yani mlevi kuandika post kwenye Twitter ndio CHADEMA?.CHADEMA inarudia makosa Yale Yale ya kukaribisha majizi
Emanuel Ntobi ni mlevi?CHADEMA ipi?. Yani mlevi kuandika post kwenye Twitter ndio CHADEMA?.
Huyo anawakejeli tu na hata wao wenyewe hawathubutu kutoka CCM watakamatwa siku hiyo hiyo maana wote ni majizi salama yao ni kubakia ndani ya chama cha majizi wenzao wanalindana.Kupitia kada wake mwandamizi ndugu Ntobi, CHADEMA imewakaribisha wanaCCM waliotumbuliwa kujiunga na chama chao wapige kazi.
=========
Kupitia ukurasa wake wa X (Zamani Twitter) kada huyo wa CHADEMA ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa wa Shinyanga ameandika "Karibuni CHADEMA tupige kazi" huku akiambatanisha maneno hayo na picha ya January Makamba, Nape Nnaeye na Abdulrahman Kinana.