Pre GE2025 Emmanuel Ntobi: Nimeonewa kwa sababu namuunga mkono Mbowe kwenye Uchaguzi wa chama chetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakianza kuwajibishana kwa kusingizia matusi wasije kushangaa serikali itakapokuwa inawawajibisha kwa kisingizio hicho hicho. Wapinzani uchwara.
 
Endapo lisu yupo fiti kiasi cha kumsimanisha mtu wa mbowe basi ujue lisu si wa mchezo mchezo
 
β€œSababu kubwa ni joto la kisiasa linaloendelea kwenye chama chetu, niseme tu kuwa nimeonewa kwasababu tu namuunga mkono Mhe. Freeman Mbowe kuelekea kwenye uchaguzi wa viongozi wa chama chetu.
Kwahiyo ameondolewa na wafuasi wa Lissu
Huu ni mpasuko wa pili ndani ya chama
 
Ntobi hana nidhamu.Ni kibaka.Ajirekebishe.
 
Kwahiyo Lissu Ana Nguvu Kuliko Mbowe Kwenye Chama...
 
Nimecheka kwa nguvu, naona unajaribu kubalance equation na chama la mbeleko ya vyombo vya dola.
Mkuu asante kwa kumpa za usoπŸ˜πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…