Emmanuel Okwi aing'arisha 'The Cranes' aingia kambani mara mbili kwa ushindi wa 3-0 dhidi ya Lesotho

Mechi ya Yanga Okwi alifunga goli 2 na Kichuya 1. Magoli yalienda wapi,waulizwe Yanga na mganga wao
 
Niliitabiria kupigwa tatu kabla hata ya mchezo wao haujaanza na wakafa kwa idadi hiyo kesho nikikiona kikosi nitakuja niku-sheikh hassan
 
Okwi wa Simba ni yule yule wa Uganda Cranes, goli la kwanza kwa shuti kali mguu wa kushoto ni hatari kabisa
Bahati yao Mbao, siku ile Kwoi sijui Okwi alipewa kazi ya kufua nguo za Yanga, isingekuwa hivyo Mbao wangekoma
 
Naona Mkuu umerusha jiwe gizani.. Hahaha

Ila kwa hiki kiwango alichonacho ni faida sana kwa Simba SC. Katika mechi 2 za mwisho alizocheza kafunga goli 3.. Na namini 16/10 watakaporudiana ma Lesotho lazima ataongeza zingine.
Nimefarijika sana...kwa hiyo akipiga mawili kwenye mechi ya Lesotho, Simba itaongoza ligi kwa tofauti ya mabao eeh?

Rage huyu kama nabii...dah!
 
Timu ya wananchi na mbuzi pia wamo..siku ya Simba na Vyura kwa Okwi ilikuwa namna hiyo mpaka FT stats!

Hapo lazima mtetezi awe mbao tu maana hakuna namna..!
Bahati yao Mbao, siku ile Kwoi sijui Okwi alipewa kazi ya kufua nguo za Yanga, isingekuwa hivyo Mbao wangekoma
 
Mikia wote kujeni hapa tuyajenge, Okwi akitupia 2 dhidi ya Lesotho tunakaa juu ya Yanga.

Zis is Simba bwana, and wi ar ze mbumbumbu. Simba nguvu moja
 
Mkuu hapo inahusika katiba awala la uraia pacha
Duh kumbe Kagere nae kama Petii Mafisango? Ni raia wa wapi by birth?

TFF iangalie wenzetu wanavyoweza ku spot potential na kuvutia wachezaji wanaojua ili kuisaidia team ya taifa. Zama zimebadilika bwana
 
Kwani unadhani kufuga Vyura na mpira ni sawa!

Timu ya wananchi na pia mbuzi wamo...!

Katika hali hii kweli nitegemee utakuwa na akili za utulivu kiasi uelewe kuwa Okwi hawezi kuiongezea points Simba akifunga dhidi ya Lesotho?
 
Akili tulivu ya binadamu inajadiliana na binadamu ndo ilivyo hapo kwa Simba..na siyo akili mbovu ya binadamu na mbuzi kama ilivyo hapo bwawani[emoji196]

Ni vitu viwili tofauti, kuna upupu na utupu
View attachment 898748

Katika hali hii kweli nitegemee utakuwa na akili za utulivu kiasi uelewe kuwa Okwi hawezi kuiongezea points Simba akifunga dhidi ya Lesotho?
 
Akili tulivu ya binadamu inajadiliana na binadamu ndo ilivyo hapo kwa Simba..na siyo akili mbovu ya binadamu na mbuzi kama ilivyo hapo bwawani[emoji196]

Ni vitu viwili tofauti, kuna upupu na utupuView attachment 898795

Huu sio mjadala NI ZOGO. Muuza chupi, muuza CD za Vietnam, Muuza sidiria, Hobobo Matelefonii...kila mmoja anaita, honi za maagri na kelele za njiwa kwenye ceiling baord, unazidi kuwa vile Rage alisemaga
 
View attachment 898826

Huu sio mjadala NI ZOGO. Muuza chupi, muuza CD za Vietnam, Muuza sidiria, Hobobo Matelefonii...kila mmoja anaita, honi za maagri na kelele za njiwa kwenye ceiling baord, unazidi kuwa vile Rage alisemaga
Na huu wa binadamu na mbuzi unaitwaje?[emoji196][emoji196]

Timu ya wananchi pia mbuzi wamo..Hiyo ndo shida ya kuishi bwawani muda mrefu pasi na kuvuliwa, ukija ukivuliwa unakuwa kama zezeta..Katibu Cecafa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…