OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nimeangalia clip nikasisimka. Huyu Okwi Ulaya ilimshindaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliitabiria kupigwa tatu kabla hata ya mchezo wao haujaanza na wakafa kwa idadi hiyo kesho nikikiona kikosi nitakuja niku-sheikh hassanMoira in sayansi, pia Moira in mchezo was makosa. Ukifanya kosa mwenzio analitumia anapata goal. Kama uliicheck ile game taiga stars walifanya makosa kuanzia nyuma, viungo na forward pia. Ila hata jamaa walifanya makosa mengi pia ambayo kama tuna washabuliaji makini tungeweza kuscore walau hata goal moja. Point yangu ni kwamba hiyo game ya juzi imepita, Vila shaka mwalimu atafanya lililo ndani ya uwezo Wake upande wa ufundi kurekebisha alichokibaini. Tusikate tamaa, wala hakuna cha uzalendo nyumbu au Tembo, tukizamilia na kufanyia kazi mapungufu tulioonyesha last game, tukawa kitu kimoja, bado tunayo nafasi ya kutoboa. Tusiwakatishe tamaa wachezaji wetu na watanzania pia. Linapokuja suala LA timu ya taiga, hebu tuwe kitu kimoja, tuwe nyuma ya timu yetu, inshaalah Mungu anaweza awe upande wetu tukawatoboa jamaa. Chonde chonde rudisha moyo mkuu, kuwa mzalendo, hii ndiyo timu yetu ya taifa, kamwe Uganda crane haitakuwa timu yetu wala hao Cape Verde hawawezi kuwa timu yetu. Tuwape moyo wachezaji wetu. Tutatoboa tu.
Niliitabiria kupigwa tatu kabla hata ya mchezo wao haujaanza na wakafa kwa idadi hiyo kesho nikikiona kikosi nitakuja niku-sheikh hassan
YangaKuna timu fulani haikawii kutaka kumteka.
Bahati yao Mbao, siku ile Kwoi sijui Okwi alipewa kazi ya kufua nguo za Yanga, isingekuwa hivyo Mbao wangekomaOkwi wa Simba ni yule yule wa Uganda Cranes, goli la kwanza kwa shuti kali mguu wa kushoto ni hatari kabisa
Nimefarijika sana...kwa hiyo akipiga mawili kwenye mechi ya Lesotho, Simba itaongoza ligi kwa tofauti ya mabao eeh?Naona Mkuu umerusha jiwe gizani.. Hahaha
Ila kwa hiki kiwango alichonacho ni faida sana kwa Simba SC. Katika mechi 2 za mwisho alizocheza kafunga goli 3.. Na namini 16/10 watakaporudiana ma Lesotho lazima ataongeza zingine.
Bahati yao Mbao, siku ile Kwoi sijui Okwi alipewa kazi ya kufua nguo za Yanga, isingekuwa hivyo Mbao wangekoma
Ni kweli Mkuu Simba itaongoza ligi.Nimefarijika sana...kwa hiyo akipiga mawili kwenye mechi ya Lesotho, Simba itaongoza ligi kwa tofauti ya mabao eeh?
Rage huyu kama nabii...dah!
Rage ni nomaNi kweli Mkuu Simba itaongoza ligi.
Unajua mimi na Kiingereza mbali mbali, kwa hiyo hapa nani kalamba alama 3?Timu ya wananchi na mbuzi pia wamo..siku ya Simba na Vyura kwa Okwi ilikuwa namna hiyo mpaka FT stats!
Hapo lazima mtetezi awe mbao tu maana hakuna namna..!View attachment 898288
Duh kumbe Kagere nae kama Petii Mafisango? Ni raia wa wapi by birth?
TFF iangalie wenzetu wanavyoweza ku spot potential na kuvutia wachezaji wanaojua ili kuisaidia team ya taifa. Zama zimebadilika bwana
Kwani unadhani kufuga Vyura na mpira ni sawa!
Timu ya wananchi na pia mbuzi wamo...!
View attachment 898748
Katika hali hii kweli nitegemee utakuwa na akili za utulivu kiasi uelewe kuwa Okwi hawezi kuiongezea points Simba akifunga dhidi ya Lesotho?
Akili tulivu ya binadamu inajadiliana na binadamu ndo ilivyo hapo kwa Simba..na siyo akili mbovu ya binadamu na mbuzi kama ilivyo hapo bwawani[emoji196]
Ni vitu viwili tofauti, kuna upupu na utupuView attachment 898795
Na huu wa binadamu na mbuzi unaitwaje?[emoji196][emoji196]View attachment 898826
Huu sio mjadala NI ZOGO. Muuza chupi, muuza CD za Vietnam, Muuza sidiria, Hobobo Matelefonii...kila mmoja anaita, honi za maagri na kelele za njiwa kwenye ceiling baord, unazidi kuwa vile Rage alisemaga