Emmanuel Okwi kuwika leo?

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
2,902
Reaction score
1,875
Habari wana jf,
Ile timu ambayo tuliambiwa kuwa mchezaji tajwa hapo juu imemsajili inacheza leo dhidi ya fc Nordsjaelland mnamo saa 1 usiku.NIMEKAA MKAO WA KULA KUISUBILIA MECHI HIYO NA LENGO HASA NI KUMUONA MCHEZAJI HUYO.

NITAWAJUZA KAMA NI KWELI AMEWEZA KUWA KTK HYO TIMU AU NI POLOJO TU ZA VIONGOZI WETU NA WAANDISHI WETU WA SOKA.KWA ATAKAYEITAJI LINK YA KUONA MECHI HIYO NITAIWEKA BAADAE PINDI TU GAME ITAKAPOANZA.

Nimejaribu ku google nione squad ya timu yake hyo mpya but sijafanikiwa kuliona jina lake.

SONDERJYSKE

Updates;Baada ya timu hyo kuanza league kwa kushinda 2 bila ugenini muda huu wapo uwanjani wakikipiga na midtjylland nyumbani.HAKUNA CHA EMANUEL OKWI KTK WACHEZAJI WALIONZA MCHEZO HUU WALA KATIKA WALE WA AKIBA..mpaka tuujue ukweli.
 
Timu inayotajwa kuwa imemsajiri huyo emma okwi imeshinda kwa goli 2 kwa 0.KWENYE HIYO TIMU HAKUNA HATA TETESI KUWA KUNA MTU KM HUYO.NAENDELEA KUFANYA UTAFITI BUT ASIJE AKAONEKA KWENYE KOMBE LA KAGAME HIV KARIBUNI??!!!NITACHEK GAME YA INAYOTAJWA TIMU YAKE MPYA NEXT WEEK THEN NITAWAPA MREJESHO.
 
Wala pesa yako haikuliwa,sondersjyske walishnda 2 kwa bila.OKWI HAYUPO HATA KTK WAPISHI WA HYO TIMU
 
Wala pesa yako haikuliwa,sondersjyske walishnda 2 kwa bila.OKWI HAYUPO HATA KTK WAPISHI WA HYO TIMU

haituhusu acheze asicheze huko aliko sawa tu!kikubwa aliwafyamba vya kutosha alipokuwa kundini!!
 
Wala pesa yako haikuliwa,sondersjyske walishnda 2 kwa bila.OKWI HAYUPO HATA KTK WAPISHI WA HYO TIMU

Mi nlidhan kuwa watu wa humu ni MAGT, kumbe wengine ni vilaza tu . wazungu hawana papara km ninyi mti anacheza kama yuko na mechi fitness. kusajiliwa juzi wewe umeanza kushangaa kwamba hajajumishwa kwenye kikosi.
 
Mmelipwa au kama kawaida kilio baadaye?

Aveva amekaririwa na vyombo vya habari akisema tayari wamepokea 220M.

hapa TRA wanahusu lakini unaweza kuona hii pesa haikatwi kodi hata sensi tano...only in Tanzania!
 

Mkuu ukweli uliokua ukiutafuta ushaujua?
 
Mkuu ukweli uliokua ukiutafuta ushaujua?

Mkuu ukwelu sijaupata na nitakuja hapa baada ya kuupata ukweli.
BAADHI YA WACHANGIAJI WANATOKWA NA POVU TU NA WANAJITOA UTIMAMU WA NINI NINATAKA KUJUA AU KUSIKIA KUTOLA KTK VYANZO TOFAUTI.
KWA KIFUPI NI SINA IMANI NA VIONGOZ WA HIYO TIMU WALIOTANGAZA KUMUUZA HUYO MCHEZAJI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…