Habari wana jf,
Ile timu ambayo tuliambiwa kuwa mchezaji tajwa hapo juu imemsajili inacheza leo dhidi ya fc Nordsjaelland mnamo saa 1 usiku.NIMEKAA MKAO WA KULA KUISUBILIA MECHI HIYO NA LENGO HASA NI KUMUONA MCHEZAJI HUYO.
NITAWAJUZA KAMA NI KWELI AMEWEZA KUWA KTK HYO TIMU AU NI POLOJO TU ZA VIONGOZI WETU NA WAANDISHI WETU WA SOKA.KWA ATAKAYEITAJI LINK YA KUONA MECHI HIYO NITAIWEKA BAADAE PINDI TU GAME ITAKAPOANZA.
Nimejaribu ku google nione squad ya timu yake hyo mpya but sijafanikiwa kuliona jina lake.
SONDERJYSKE
Updates;Baada ya timu hyo kuanza league kwa kushinda 2 bila ugenini muda huu wapo uwanjani wakikipiga na midtjylland nyumbani.HAKUNA CHA EMANUEL OKWI KTK WACHEZAJI WALIONZA MCHEZO HUU WALA KATIKA WALE WA AKIBA..mpaka tuujue ukweli.