Siku nikiamka na kuona TISS imemshughulikia huyu kibaraka wa Kagame wallah ntawapa ushirikiano kuwataja wengine wengi niwajuao tena wapo na nyadhifa jeshini na taasisi mbalimbali za serikali na binafsi.
Ieleweke hatuna nia mbaya na hawa majirani zetu lakini kiongozi wao hana lengo zuri na Nchi yetu, hivyo basi sipo tayari kufumbia macho maovu ambayo yatamuathiri mwanangu siku za usoni.
Kagame hana nia nzuri na Nchi zote za maziwa makuu, sipo tayari kumwona mwanangu akitawaliwa na mtusi kutoka Rwanda.