Emmanuel Papian John

Kwanini Mkuu?
Yeye asili yake ni Rwanda, japo haijulikani amefikaje mpaka kuwa Mbunge lakini ameingiza wanyarwanda wenzake baada kukutwa nao kwake. Hao ndio waliokutwa je hapo kabla ameshaingiza wangapi? Hao watu wa kazi gani? Na kwa nini watoke kwao? Kama anaweza kuingiza watu je silaha atashindwa vipi? Huyu ni mtu kweli wa kuendelea kuwepo? Vyombo husika vilitakiwa vitoe statement kama vinavyofanya sehemu. Mtu huyu apotee kabisa, akaminywe hukoo mpaka kisha wamuue maana kumturn na hali wamshajua tunamuulizia kwenye vyombo vya habari hawatakuwa na kazi naye. Hiyo ndio itakuwa statement. Mbona wengine wanatekwa, kupotea na kukutwa kwenye viroba inashindikana nini kwa watu kama hawa.
 
Siku nikiamka na kuona TISS imemshughulikia huyu kibaraka wa Kagame wallah ntawapa ushirikiano kuwataja wengine wengi niwajuao tena wapo na nyadhifa jeshini na taasisi mbalimbali za serikali na binafsi.

Ieleweke hatuna nia mbaya na hawa majirani zetu lakini kiongozi wao hana lengo zuri na Nchi yetu, hivyo basi sipo tayari kufumbia macho maovu ambayo yatamuathiri mwanangu siku za usoni.
Kagame hana nia nzuri na Nchi zote za maziwa makuu, sipo tayari kumwona mwanangu akitawaliwa na mtusi kutoka Rwanda.
 
Kwani hawakumfahamu kabla ya kugombea ubunge?
 
Ndo walivyo hao CCM wanafiki, wanawapa ubunge hadi wanyaru.
Hawasahau kwao hao, bora amejulikana ni muhimu akangolewa maana ni hatari kwa usalama wa nchi yetu!!
 
sawasawa mkuu alishawahi kugombea udiwani pale Engusero na kina Musa mweusi aka Jaluo
 
 
Huyo sio mtanzania.
anashindaje ubunge kama siyo mtz, na anapataje nafasi ya kuwakilisha chama kama siyo mtz au rushwa maana hawa watu kwa kutoa rushwa ndio wenyewe.na chama chetu kimejaa wala rushwa kila ngazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…