Emmatheboy upo wapi jamani?

Emmatheboy upo wapi jamani?

Kama alijichanganya akachukua demu wa Bashite ndo tumsahau hivo
 
Habari zinazo vuma produce EMA THE BOY kupotea, cm yake haipatkan leo cku ya tano haonekani ni za kweli???
Naulza cjadhibitisha
7c3a93b2a39732fca48505dbe1c16708.jpg
 
poleni..msichoke kumtafuta

hivi yule dada mtangazaji azam tv.. aliewekewa uzi humu alipatikana? nadhan anaitwa fatma
 
Jamaa amepatikana, aliandika kwenye account yake ya Instagram kuwa alikuwa bagamoyo kwa kazi zake binafsi
 
Ujinga huu.....

Mtu anagombana na mke wake anamzimia cm... Mnaleta hapa!!!
 
Back
Top Bottom