Emoji zimekuwa kubwa sana sana, au nazo zinakua na kuzeeka?

Eti zinakua na kuzeeka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, km hizi nazoziona ziko post menopause lol
 
Ni kweli tangu juzi, mpk inaboa mtu unatafuta comment ya kusoma unakutana na lijibichwa linakukenulia screen nzima pasi kujua watu tuna stress zetu za mafao ya 25%,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…