Emoji zimekuwa kubwa sana sana, au nazo zinakua na kuzeeka?

Emoji zimekuwa kubwa sana sana, au nazo zinakua na kuzeeka?

Eti zinakua na kuzeeka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, km hizi nazoziona ziko post menopause lol
 
Mh mbona naziona ndogo
Mkuu, cheki post ya kinjekitile hapo juu (post inayofata baada yako). Kama wewe unaziona kawaida, kwangu zinaonekana kama hivi๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
20181129_051509.png
 
Ni kweli tangu juzi, mpk inaboa mtu unatafuta comment ya kusoma unakutana na lijibichwa linakukenulia screen nzima pasi kujua watu tuna stress zetu za mafao ya 25%,
 
Back
Top Bottom