Emoji zimekuwa kubwa sana sana, au nazo zinakua na kuzeeka?

Itakuwa simu zenu tu, mbona wengine tunaona kawaida tu
 
Mbona kwangu ni za kawaida tuu,size yake ni ile ile,hazijawa kubwa.πŸ˜›πŸ˜›
 
Hicho chenye alama ya setting kilicho jirani na kitufe cha space, ukibonya kwa kushilia kwa muda zitakuja pop-up. Lakini nao na hapo kwako kwa juu kuna kialama cha emoji kwa juu ya keypad, ukibonya hapo hazitokei?
Nimejaribu hicho cha setting yanakuja mambo mengine tu. Hicho kiemoj ni kama kimekuwa saved tu kutokana na matumizi ya sehemu nyingine
 
Nimejaribu hicho cha setting yanakuja mambo mengine tu. Hicho kiemoj ni kama kimekuwa saved tu kutokana na matumizi ya sehemu nyingine
Basi mkuu, hakuna namna...endelea kucheka kwa kuandika 'hahahahahaha'πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Mimi kwangu nikikihold inatokea pop-up hii hapa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…