Emoji zimekuwa kubwa sana sana, au nazo zinakua na kuzeeka?

Emoji zimekuwa kubwa sana sana, au nazo zinakua na kuzeeka?

Itakuwa simu zenu tu, mbona wengine tunaona kawaida tu
 
Hazitokei. Kitufe kipi?
kama unatumia samsang jaribu kubonyesha na kuhold ki'button cha kwanza kushoto baada ya space bar. Then kuna option zita pop-up, moja wapo ni option ya emoj
Screenshot_2018-11-29-12-28-52.jpeg
 
Mbona kwangu ni za kawaida tuu,size yake ni ile ile,hazijawa kubwa.😛😛
 
Hicho chenye alama ya setting kilicho jirani na kitufe cha space, ukibonya kwa kushilia kwa muda zitakuja pop-up. Lakini nao na hapo kwako kwa juu kuna kialama cha emoji kwa juu ya keypad, ukibonya hapo hazitokei?
Nimejaribu hicho cha setting yanakuja mambo mengine tu. Hicho kiemoj ni kama kimekuwa saved tu kutokana na matumizi ya sehemu nyingine
 
Nimejaribu hicho cha setting yanakuja mambo mengine tu. Hicho kiemoj ni kama kimekuwa saved tu kutokana na matumizi ya sehemu nyingine
Basi mkuu, hakuna namna...endelea kucheka kwa kuandika 'hahahahahaha'😀😀😀😀😀. Mimi kwangu nikikihold inatokea pop-up hii hapa chini
20181129_123943.png
 
Back
Top Bottom