Maprofesa kama saba walkua wanasafar ya kwenda Uk walpanda ndege kabra ndege kuondoka waliskia tangazo .kwamba Tunashukuru wateja wetu kwa kuchagia shirika letu kwajil ya safari .....ndege hii mliopanda imetengenezwa na watanzania wenzenu ivyo tunaomba tuunge mkono wenzetu...... Baada ya tangazo ilo 6 wakashuka uku wakisema tunapenda kuuishi lakin albak 1 tu wakamulza mbona wewe ukushuka na wenzio akajibu kama kweri hii ndege imetengenezwa na watanzania basi naamini ata kuruka juu itashindwa. haitaenda popote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]