[emoji23][emoji23]ndege za Tanzania

[emoji23][emoji23]ndege za Tanzania

Mayor of kingstown

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
2,898
Reaction score
4,156
Maprofesa kama saba walkua wanasafar ya kwenda Uk walpanda ndege kabra ndege kuondoka waliskia tangazo .kwamba Tunashukuru wateja wetu kwa kuchagia shirika letu kwajil ya safari .....ndege hii mliopanda imetengenezwa na watanzania wenzenu ivyo tunaomba tuunge mkono wenzetu...... Baada ya tangazo ilo 6 wakashuka uku wakisema tunapenda kuuishi lakin albak 1 tu wakamulza mbona wewe ukushuka na wenzio akajibu kama kweri hii ndege imetengenezwa na watanzania basi naamini ata kuruka juu itashindwa. haitaenda popote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha sema walioteremka hawakuteleza wakafa na yule aliebakia ndani angekufa hadi sasa tusingekuwa na wahitimu wajinga na viongozi washamba na malimbukeni wa madaraka.(utani tu)
 
Back
Top Bottom