"Emotion Intelligence" ya Watanzania wengi ipo chini sana na sababu kuu zipo wazi kabisa

"Emotion Intelligence" ya Watanzania wengi ipo chini sana na sababu kuu zipo wazi kabisa

winnerian

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
379
Reaction score
603
1. Siasa ni ugonjwa na ukikomaa unakuwa kilema kisicho tibika wala kugusika. Mfano mzuri uvimbi uote nyuma ya kisogo halafu uunganike na "nerve system" hata uende wapi "operation yake ni ngumu sana maana kuna matatu hapo wakikufanyia upasuaji unaweza kupona, kupata kichaa au kufa kabisa.

2. Siasa zetu kwa miongo kadhaa zimekuwa ni siasa za kuzalisha kizazi chenye kushikiliwa akili, kisichoweza kuwaza na kuwazua chenyewe kama chenyewe. NI mambo mengi yanahitajia akili kubwa na huru kuyatekeleza lakini hayatekelezeki kwakua hakuna hata mmoja wetu mwenye huo uwezo. Wale wenye uwezo wamejitenga pembeni na kuacha wajinga wachukue hatamu ya kuongoza. Mfano mzuri angalia content ya bungu la Jamuhuri utagundua asilimia kubwa ya wabunge IQ (Inteligent Quotient) yao ipo chini sana.

3. Issue ndogo sana kama kusimamishwa kazi kwa mkuu wa wilaya moja nchi nzima inakuwa ndio agenda ya watu 62,000,000. Fikiria issue kama hii itakaa kwenye trend kwa siku zaidi ya tano bila kuwa na issue nyingine.

4. Taifa limekaukiwa kabisa vijana wenye kuibua hoja zilizopita zilizopo na zijazo. Mfano Raisi aliepo SSH alitangaza kuchunguzwa kwa BoT. Hili lilitrend sana na watu wakapata shauku ya kujua lakini yakaja mambo mfululizo yakaifuta kabisa kwenye mawazo yetu na mazungumzo yetu. "Easily brainwashed generation"

5. Low Emotional Intelligence, Adult of Emotional Immature Parents, Generation of Emotional Coard n.k n.k
 
Umeandika vema ila nina uhakika tupo wote kundi hilo ndugu!
 
Nimekuelewa ila hebu fafanua kiasi maana hapo umeweka low IQ na low Emotional Intelligence mimi kwa uelewa wangu “There is no connection between high or low IQ and emotional intelligence
 
Power and control mkuu...

Naamini kuna mambo mengi yanachangia kwenye kudevelop psych ya mtu
Uchumi, tamaduni,mazingira etc

Tuvumiliane...
 
nimekuelewa ila hebu fafanua kiasi maana hapo umeweka low IQ na low Emotional Intelligence mimi kwa uelewa wangu “There is no connection between high or low IQ and emotional intelligence
Mtoto ni rahisi kumdanganya na kum'manipulate. Sababu: Hajakomaa kihisia.
 
ndio maana wengi ukiwaambia makonda anakula bata mpaka leo hawaamini,kisa hawamwoni ktk camera[emoji23][emoji23].

yaani furaha yao ni kusikia kile wanachokipenda,hata kwa kudanganywa.
 
Back
Top Bottom