EMs ni shule bora wazazi tutafute hela! hebu cheki feza boys watoto 62 wa kiume wote wana wani

Hii shule noma sana ,tena nishule ya kata tuu
Noma kwa kuchuja wanafunzi nakuchukua cream tu, wakati millennium goal ni quality education for all, hao hata hawagiki 10% ya wanafunzi wote wa wilaya hiyo.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tutafute hela na muache wivuu

English medium ni shule bora kabisa na huwezi linganisha na hizo st kayumbee


Kwaherini
We bwege nenda kaangalie matokeo ya Kilakala na ni wasichana. Umeleta promo na matangazo ya biashara. Wapumbavu nyie nendeni mkaliwe na wajanja huko
 
A
Mwanao akipata one tu tayari umemaliza kila kitu?
Mtafute engineer Mmoja humu aliitwa CCNPP nimesahau jina lake ana one ya 7 na one ya 3 lakini alizidiwa kila kitu kasoro ujinga na Humble african🤣🤣 Portfolio Portfolio
Alizidiwa nini
 
Tafula shule inaitwa Fidel Casto iko pemba ni ya serikali, wanafunzi wote wana 1 tu.
 
61 tu, Francis ya mbeya wote 91 wana 1 tena za 7
 
Kwani katika hiyo wilaya kuna shule za namena hi ngapi? Utakuta kati ya wanafunzi 12000 wilaya nzima walio peform hivo ni 200 tu, hapo utasemaje mkuu.
Ziko mbili na zote zimeweka humohumo
 
Shule niliyosoma olevel kuna madogo 3 wana one ya 7, wawili wana 8, watatu wana 9. Ada bure na kila kitu bure.

Kama one ndio kipimo chako cha ubiora, Sasa huyu dogo aliesoma bure ana 1.7 st kayumba na dogo wa Feza mwenye 1.7 alielipa ada 9m wanatofautiana nini?

Shule za EM zaidi ya matokeo mazuri hazina kitu cha ziada kwa watoto, ni kupoteza rasilimali fedha tu na matokeo mazuri sasa hayana maana yoyote.
 
Lazima wafaulu, sababu elimu ya kitanzania huna kingereza huna elimu maana yake Ni kuwa password ya elimu Ni kingereza.

Hakuna swala la mtoto kuchagua Ni lugha ipi anaimudu kupatia elimu yake hali inayopelekea wasiojua kingereza kuikosa elimu kabisa na hakuna mbadala.
Nchi ya kishenzi Sana hii, yaani Kama huna pesa yakununua kingereza ukafie mbele.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tutafute hela na muache wivuu

English medium ni shule bora kabisa na huwezi linganisha na hizo st kayumbee


Kwaherini
Ungeona matokeo ya kibaha secondary usinge andika huu uzi kabisa mkuu.
One zipo 104 na hakuna 2 ,3,wala 4 . We unalipa M 30 mtoto ana one ya 10 unajisifia na wale wasio lipa wana One ya 7 zipo kibaooo tu .
 
Ada milioni 30 kwa mwaka anamaliza anapata mshahara wa Serikali wa 1M kwa mwezi sawa na 12M kwa mwaka.
Mzazi mwenye uwezo wa kulipa ada ya 30 mil kwa ajili ya mtoto mmoja+siblings ni ama mfanyabiashara au Mwajiriwa mwenye kipato kikubwa.
Hapa mtoto anasoma aje kuendesha family business au akafanyia kwenye international organizations au akafanyia nje ya nchi.
 
Huwezi kklingana na mtu alio lipa 15m kama ada nawewe ulio changia dawati la 25000, hata yule akipata div 2 wewe alie changia dawati upate 1 ya 7, hawezi kumzidi chochote na hutakuja kujilinganisha nae kimaisha mkuu imasokini usiwandanganye kwa kujifariji tu.
 
Kumbuka wao ni biashara hio, wakifelisha nani atapeleka mtoto. In generally wizi wa mitihani utawapata private schools
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…