Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mganga wa Jadi, hata mimi nilikuwa Ilboru A-level, nikapata manzi fulani ya form 4 hapo enabo, amini usiamini, niliikuta sealed!. Mungu aibariki sana popote ilipo. Japo hii thread ni ya Enaboishu, maada miongoni mwetu ni wafaidika wa shule hiyo, hakuna ubaya kuchangia.Nawakumbuka mademu wazuri wa Enaboishu, wakati tunatoroka Ilboru kwenda kutuliza kiu kidogo baada ya kupiga book kali kwa mzee Kitemango.
Sipo sisi tulikuwa mashem wenu pale Ilboru!. Kumbe ndio maana wewe Sipo ni mstaarabu sana. Shule yenu ilikuwa na watoto weng wa mama!.Tukumbushane ya muhimu
Ina maana humu ndani jamvini products za Enaboishu ni chache sana au?