Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Sina hakika kama ataweza kutimiza hiloNeymar ndio tunamdai mengi
HakikaHakuna tunachowadai. Wametupa burudani.
Ee bana, akina YANINI JAMANIWaache vijana watambe sasa. Maana miaka yote media zilikuwa zikiwaimba tu wao.
Wameweza aiseeHakuna tunachowadai
Ameshashindwa na umri ndio huo mdogo mdogo unamtupa mkonoSina hakika kama ataweza kutimiza hilo
Ni muda wa vijana sasa ku-shineEe bana, akina YANINI JAMANI
Kylian Mbappe piaHii ni era mpya ya Lamine Yamal na Erling Haaland.