Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
- Thread starter
- #21
Anachezea ndoto ya knee wenuDaah maisha hayako fair.
Fikiria mdogo ake Yamal hata kuongea hawezi anachezea ndoto ya goti wetu wa kuchovya.View attachment 3633458
Anachezea ndoto ya knee wenuDaah maisha hayako fair.
Fikiria mdogo ake Yamal hata kuongea hawezi anachezea ndoto ya goti wetu wa kuchovya.View attachment 3633458
Kama wataepukana na serious injuries na kumaintain wanaweza kuoffer cha zaidi.Ni muda wa vijana sasa ku-shine
Hawezi yule ndo KAMALIZA paleSina hakika kama ataweza kutimiza hilo
Jamaa alikuwa na talent vibaya mnoHawezi yule ndo KAMALIZA pale
Hapana huyo ashapita amalizie tu labda Bellingham.Kylian Mbappe pia
Mbappe amepitaje mudaHapana huyo ashapita amalizie tu labda Bellingham.