End Of The Wold!!

End Of The Wold!!

Ndugu ogm12000, are you an atheist? If not what's your thoughts on 'the young earth' theories. Watu wana claim earth is only 6000years old sijui kama ushaona hizi claims. Claims za Scientists that earth is billion of years old zina nullify mafundisho yote ya kidini. Where do you stand in this? Alafu also do you believe in Evolution especially Macro evolution kua under right conditions and enough time a fish will evolve to an amphibia and finally a land animal? Nna aim ya kuuliza haya maswali.

Mimi nina dini. Lakini hakuna dini ilisoma dunia inamiaka mingapi. Kwani hiyo miaka imeanza kuhesabiwa baada ya christ sasa before then how was it? Mungu ametuumba na akili ndio maana as to date watu wana research ku findout about our universe. I do believe mambo mengi tu ktk sayansi, ingawa kuna mengine siamini. Kuna correlation kubwa tu kati ya science in islam na science ya kawaida. Unaweza angalia lectures za Zakir Naik, Ahmed Didat na wengineo just go youtube. Zakir is medical doctor by professional va vile vile ni msomi mzuri wa dini. Kuna professor mmoja alimeandika kitabu kuhusu mambo ya embryology na ame reference Quran.
Tafuta lecturers wenyewe good understanding ya dini na science utapata flavor nzuri zaidi
 
Last edited by a moderator:
kwa mujibu wa tafiti za kisayansi Sehemu kubwa ya dunia imefunikwa na maji (bahari) huku sehemu ndogo iliyobaki ikiwa nchi kavu..
jua (sun), limeumba kwa mchanganyiko wa gesi mbambali zilizochanganyika na vumbi (dust particles) na kushikiwa pamoja na nguvu ya uvutano. gesi hizi zinafanya chemical reaction ambayo contents (products) zinazopatikana ni raw material ya reactants hivyo basi hii chemical reaction inakuwa automaticaly revesed. reaction inapofanyika kuna energy loss (1) heat enegry joto linalotufikia tukiwa hapa duniani (2) light energy mwanga tunaoupata 2kiwa huku duniani. joto hili linaongezeka kadri siku zinavyokwenda (ipo wazi) coz due to energy loss then jua linapungua ukubwa (diameter) na kuwa dogo zaidi hivyo joto kuongezeka zaidi na kusababisha sehemu kubwa ya barafu duniani kuyeyuka na kina cha maji baharini kuongezeka kwa kasi kubwa na hivyo basi baada ya miaka 25 ijayo dunia yote itafunikwa na maji na kuua viumbe wote isipokuwa kwa wale ambao tnatarajia kuanza maisha mapya sayari ya MAARS
kwa heading hii nilitegemea habari inayoumiza vichwa kwa kipindi cha sasa..... na hapo hutasita kuzungumzia NIBIRU au PLANET X.....hii ni sayari ambayo iligungulika kuvamia katika mfumo wetu wa jua.... na huchukua miaka takribani 3000 kukamilisha mzunguko wake ni sayari inayo fanana na jua ni nyekundu huku ikiwa na joto kali pamoja na vumbi jekundu ambalo hutoka katika sayari hiyo...kulingana na mayan calender ilitegemewa hiyo sayari ingepita karibu na dunia au kugongana na dunia 21 dec 2012 na ndio maana wengi tulisikia ndio kipindi ambacho dunia itafikia mwisho..... endapo sayari hiyo itapiata karibu na dunia basi inasadikika kua maeneo yote yaliyofunikwa na barafu yatayeyuka na hivyo kusababisha extreme bad weather... huge and massive earthquake and tsunami ....kulingana na uatafiti wa sasa inaonyesha planet x au nibiru inaelekea kufikia karibu na dunia yetu. kulingana na habari nilizo zipata inasadikika kua NASA,CIA wana ifatilia kwa ukaribu sayari na wenda wamesha andaa njia ya kujiokoa na tukio hilo kama litatokea kwani huchukua wiki kadhaa au mwezi mmoja......utafiti uliofanywa na CIA una onesha 2/3 ya watu watafariki kutokana na earthquakes,tsunami etc na 2/3 ya watakao salimika watakufa kutokana na starvation....inasadikika kua viongozi wengi wa nchi wanafahamu hili na wanahofia kutoa taarifa ili kuzua public panic....pia kuna taarifa inayoonesha kuna aina kama ya kimondo, i do know kama kuna uhusiano na hiyo planet x ambacho kinaelekea upande wetu wa dunia na inasadika kuwa wenda kika collide na dunia mwezi november......hivo nilitegemea nipate habari kama hii kwani kuanzia mwezi huu ni kipindi ambacho wanasayansi wana mawazo na wasiwasi mwingi wakati tusio jua tuna ona dunia ipo sawa tu
 
thnks for the material. nenda kwenye Jf intelligence topic Religious people are less intelligent to Atheists, Soma page 1 to abt 5 and jump right in.
 
kwa mujibu wa tafiti za kisayansi Sehemu kubwa ya dunia imefunikwa na maji (bahari) huku sehemu ndogo iliyobaki ikiwa nchi kavu..
jua (sun), limeumba kwa mchanganyiko wa gesi mbambali zilizochanganyika na vumbi (dust particles) na kushikiwa pamoja na nguvu ya uvutano. gesi hizi zinafanya chemical reaction ambayo contents (products) zinazopatikana ni raw material ya reactants hivyo basi hii chemical reaction inakuwa automaticaly revesed. reaction inapofanyika kuna energy loss (1) heat enegry joto linalotufikia tukiwa hapa duniani (2) light energy mwanga tunaoupata 2kiwa huku duniani. joto hili linaongezeka kadri siku zinavyokwenda (ipo wazi) coz due to energy loss then jua linapungua ukubwa (diameter) na kuwa dogo zaidi hivyo joto kuongezeka zaidi na kusababisha sehemu kubwa ya barafu duniani kuyeyuka na kina cha maji baharini kuongezeka kwa kasi kubwa na hivyo basi baada ya miaka 25 ijayo dunia yote itafunikwa na maji na kuua viumbe wote isipokuwa kwa wale ambao tnatarajia kuanza maisha mapya sayari ya MAARS
kwa heding hii nilitegemea habari zinazo umiza vichwa kwa kipindi cha sasa na hapo hutasita kuzungumzia NIBIRU au PLANET X.....hii ni sayari ambayo ambayo ambayo iligungulika kuvamia katika mfumo wetu wa jua na huchukua miaka takribani 3000 kukamilisha mzunguko wake ni sayari inayo fanana na jua ni nyekundu huku ikiwa na joto kali pamoja na vumbi jekundu ambayo hutoka katika sayari hiyo...kulingana na mayan calender ilitegemewa hiyo sayari ingepita karibu na dunia au kugongana na dunia 21 dec 2012 na ndio maana wengi tulisikia ndio kipindi ambacho dunia itafikia mwisho..... endapo sayari hiyo itapiata karibu na dunia basi inasadikika kua maeneo yote yaliyofunikwa na barafu yatayeyuka na hivyo kusababisha extreme bad weather... huge and massive earthquake and tsunami ....kulingana na uatafiti wa sasa inaonyesha planet x au nibiru inaelekea kufikia karibu na dunia yetu. kulingana na habari nilizo zipata inasadikika kua NASA,CIA wana ifatilia kwa ukaribu sayari na wenda wamesha andaa njia ya kujiokoa na tukio hilo kama litatokea......utafiti uliofanywa na CIA inaonya 2/3 ya watu watafariki kutokana na earthquakes,tsunami etc na 2/3 ya watakao salimika watakufa kutokana na starvation....inasadikika kua viongozi wengi wa nchi wanafahamu hili na wanahofia kutoa taarifa ili kuzua public panic....pia kuna taarifa inayoonesha kuna aina kama ya kimondo, i do know kama kuna uhusiano na hiyo planet x ambacho kinaelekea upande wetu wa dunia na inasadika kuwa wenda kika collide na dunia mwezi november......hivo nilitegemea nipate habari kama hii kwani kuanzia mwezi huu ni kipindi ambacho wanasayansi wana mawazo na wasiwasi mwingi wakati tusio jua tuna ona dunia ipo sawa
 
af ndg mwambie utafit wake ni fake kwani hakuna chombo cha baharin kinachoweza kubeba watu wote duniani kwa wkat mmoja. Huyo ndg anaota au?
we jamaa uko sayari ya ngapi hivi unadhani kuna mtu anayejali matatizo yako mpaka atengeneze kifaa cha kubeba watu dunia nzima......inawezekana hata raisi wako hawezi fua dafu kwenye kifaa hicho kuna watu wanao ru dunia ww
 
hii thread nimeipendaa! But namuomba mungu yaliyoongelewa hapa yote yawe ni ya uongo! Yasitimiee!

Let's pray .....!
 
Last edited by a moderator:
TRUST ME!! siyo nguvu za giza huo ndio ukweli halisi its not a magic or politics although itachukua kama 15 Yrs Ili Kukamilisha Mipango Ya Kuijenga Hiyo Sayari Ili Binadam Waweze Kuishi Comfotably Marekani Imeanza Kutengeneza Super Heavy Sub Marines Kwa Ajili Ya Kunusuru Maisha Ya Binadam Wakati Huo Disaster Itakapoanza Mambo Haya Yanafanyika Kwa Siri Ili Watu Wasi Anze KuPanick Na Kusababisha Amani Kuvunjika.
mkuu kama mpaka na wewe unajua kuna siri tena
 
Kwani ye kujua ulitaka mpaka aende kufanya uchunguzi yeye au mpaka baba awe CIA...kama anafatiria mambo atajua 2 ndo maana kuna medias..websites etc na hizi mara nyingi hua ni siri zinazovuja na kwa kua watu wamesha pumbazwa na ufatiliaje wa vipindi vya kijinga na kuchat fb masaa 24 habar ka hz kwao ni ndoto!
 
TRUST ME!! siyo nguvu za giza huo ndio ukweli halisi its not a magic or politics although itachukua kama 15 Yrs Ili Kukamilisha Mipango Ya Kuijenga Hiyo Sayari Ili Binadam Waweze Kuishi Comfotably Marekani Imeanza Kutengeneza Super Heavy Sub Marines Kwa Ajili Ya Kunusuru Maisha Ya Binadam Wakati Huo Disaster Itakapoanza Mambo Haya Yanafanyika Kwa Siri Ili Watu Wasi Anze KuPanick Na Kusababisha Amani Kuvunjika.

hizo ndoto za abunuwazi.. stori za vijiweni usizilete humu...!!
 
kwa heading hii nilitegemea habari inayoumiza vichwa kwa kipindi cha sasa..... na hapo hutasita kuzungumzia NIBIRU au PLANET X.....hii ni sayari ambayo iligungulika kuvamia katika mfumo wetu wa jua.... na huchukua miaka takribani 3000 kukamilisha mzunguko wake ni sayari inayo fanana na jua ni nyekundu huku ikiwa na joto kali pamoja na vumbi jekundu ambalo hutoka katika sayari hiyo...kulingana na mayan calender ilitegemewa hiyo sayari ingepita karibu na dunia au kugongana na dunia 21 dec 2012 na ndio maana wengi tulisikia ndio kipindi ambacho dunia itafikia mwisho..... endapo sayari hiyo itapiata karibu na dunia basi inasadikika kua maeneo yote yaliyofunikwa na barafu yatayeyuka na hivyo kusababisha extreme bad weather... huge and massive earthquake and tsunami ....kulingana na uatafiti wa sasa inaonyesha planet x au nibiru inaelekea kufikia karibu na dunia yetu. kulingana na habari nilizo zipata inasadikika kua NASA,CIA wana ifatilia kwa ukaribu sayari na wenda wamesha andaa njia ya kujiokoa na tukio hilo kama litatokea kwani huchukua wiki kadhaa au mwezi mmoja......utafiti uliofanywa na CIA una onesha 2/3 ya watu watafariki kutokana na earthquakes,tsunami etc na 2/3 ya watakao salimika watakufa kutokana na starvation....inasadikika kua viongozi wengi wa nchi wanafahamu hili na wanahofia kutoa taarifa ili kuzua public panic....pia kuna taarifa inayoonesha kuna aina kama ya kimondo, i do know kama kuna uhusiano na hiyo planet x ambacho kinaelekea upande wetu wa dunia na inasadika kuwa wenda kika collide na dunia mwezi november......hivo nilitegemea nipate habari kama hii kwani kuanzia mwezi huu ni kipindi ambacho wanasayansi wana mawazo na wasiwasi mwingi wakati tusio jua tuna ona dunia ipo sawa tu

Huenda hii ndo italeta yale mapigo saba kwa dunia yanayotajwa kwenye kitabu cha Ufunuo wa yohana,ngoja tusubirie cha moto hakh'yamama.Pia kwa mujibu wa Biblia,siku za mwisho jua litazima.So huenda hizi tafiti ni true kabisa japo zinatia tia kachumvi.
 
kwa mujibu wa tafiti za kisayansi Sehemu kubwa ya dunia imefunikwa na maji (bahari) huku sehemu ndogo iliyobaki ikiwa nchi kavu..
jua (sun), limeumba kwa mchanganyiko wa gesi mbambali zilizochanganyika na vumbi (dust particles) na kushikiwa pamoja na nguvu ya uvutano. gesi hizi zinafanya chemical reaction ambayo contents (products) zinazopatikana ni raw material ya reactants hivyo basi hii chemical reaction inakuwa automaticaly revesed. reaction inapofanyika kuna energy loss (1) heat enegry joto linalotufikia tukiwa hapa duniani (2) light energy mwanga tunaoupata 2kiwa huku duniani. joto hili linaongezeka kadri siku zinavyokwenda (ipo wazi) coz due to energy loss then jua linapungua ukubwa (diameter) na kuwa dogo zaidi hivyo joto kuongezeka zaidi na kusababisha sehemu kubwa ya barafu duniani kuyeyuka na kina cha maji baharini kuongezeka kwa kasi kubwa na hivyo basi baada ya miaka 25 ijayo dunia yote itafunikwa na maji na kuua viumbe wote isipokuwa kwa wale ambao tnatarajia kuanza maisha mapya sayari ya MAARS

biblia inasemaje kuhusu mwisho wa dunia???
 
Kumbuka dalili za siku za mwisho watatokea manabii wengi wa uongo,wengine wakisema tazama mwisho wa dunia ndo huu au ndo ule,lakini kumbuka hakuna aujuaje mwisho wa dunia hii ila Mungu tu so hao wanasayansi ni sawa na manabii wa uongo
*shika sana ulicho nacho na mwenye maskio na asikie na mwenye macho na aone*
 
Ukweli wote upo kwenye bibilia na quran,watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Kama sijaelewa hivi........... ukubwa wa jua unapungua halaf joto linaongezeka.............
 
biblia inasemaje kuhusu mwisho wa dunia???

Kumbuka dalili za siku za mwisho watatokea manabii wengi wa uongo,wengine wakisema tazama mwisho wa dunia ndo huu au ndo ule,lakini kumbuka hakuna aujuaje mwisho wa dunia hii ila Mungu tu so hao wanasayansi ni sawa na manabii wa uongo
*shika sana ulicho nacho na mwenye maskio na asikie na mwenye macho na aone*

Ukweli wote upo kwenye bibilia na quran,watu wanaangamia kwa kukosa maarifa

Religion vs Science. Here we go again. Guys First of this ain't no theory, ni FACT kua sun operates on the mentioned reaction na kwa ushahidi zaidi man aliweza kugundua how to do it on earth na kutengeneza mini sun hapa hapa duniani, they are called Hydrogen Bombs au Fusion bomb (a bit different na mabomu ya nuclear yanayotumia Uranium which uses Fission). H-Bombs operates with the same principle as the sun. Na pia ni FACT kua, as the Hydrogen and helium in the core is spent it will eventually run out at some point na kuisha, kama mabillion ya nyota zingine kwenye ulimwengu wetu, jua nalo at some point litazima tu. Hamna NABII wa uongo or anything related, mimi pia ni religious man ila i do accept that. Watu wa dini wajifunze kukubaliana na some facts za science, wao wanakua slaves wa dini sometimes. Mfano in mid 1800s wanasayansi walikua wanachomwa moto na kanisa kwa kusema kua Dunia ni duara pia inazunguka jua na ni sehemu ndogo tu ya ulimwengu mzima. Galileo pia ni mmoja wa wahanga, alikamatwa na kuteswa until his time of death kwa kufundisha hayo na kupingana na mafundisho ya Dini.
Quote: "Science without religion is blind, religion without science is lame"- Albert Einstein
 
Back
Top Bottom