ogm12000
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 304
- 86
Ndugu ogm12000, are you an atheist? If not what's your thoughts on 'the young earth' theories. Watu wana claim earth is only 6000years old sijui kama ushaona hizi claims. Claims za Scientists that earth is billion of years old zina nullify mafundisho yote ya kidini. Where do you stand in this? Alafu also do you believe in Evolution especially Macro evolution kua under right conditions and enough time a fish will evolve to an amphibia and finally a land animal? Nna aim ya kuuliza haya maswali.
Mimi nina dini. Lakini hakuna dini ilisoma dunia inamiaka mingapi. Kwani hiyo miaka imeanza kuhesabiwa baada ya christ sasa before then how was it? Mungu ametuumba na akili ndio maana as to date watu wana research ku findout about our universe. I do believe mambo mengi tu ktk sayansi, ingawa kuna mengine siamini. Kuna correlation kubwa tu kati ya science in islam na science ya kawaida. Unaweza angalia lectures za Zakir Naik, Ahmed Didat na wengineo just go youtube. Zakir is medical doctor by professional va vile vile ni msomi mzuri wa dini. Kuna professor mmoja alimeandika kitabu kuhusu mambo ya embryology na ame reference Quran.
Tafuta lecturers wenyewe good understanding ya dini na science utapata flavor nzuri zaidi
Last edited by a moderator: