End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

Hi broz and sisters,

naombeni mnisaidie kwa kunipa ufafanuzi wa hiyo day. for sure its killing me inside. sometimes naona there is no need kustrugle. when i look at my very young two kids nahisi am gonna loose my mind.

is there any truth? plz help me to easy my mind wadau.
 
Brandon: personally I think its all a lie, coz ever since nimeanza kusikia kuhusu hiyo kitu...it was a long time ago!
It was 1995, mara sijui 1999 - kisa eti hizo tisa tatu za mwisho ukizigeuza it becomes sita n it is believed that the 666
Ni namba za shetani...so there was when the world was supposed to end! But it didn't...

Then tukaambiwa itakuwa 2000, it didn't happen, 2008 wapi...
And now 2012??? They are playin with people's minds!
Kama hizo calendar zao zipo accurate kiasi hicho then how come wamekosea all those times?
They better come up with somethin better...
 
Hakuna mtu ajuae siku ya mwisho itakuwa lini isipokuwa Mungu pekee! Ila Mungu alitoa ishara ya siku za mwisho ambazo nyingi zinaendelea kutokea sasa eg Vita,Njaa,upendo wa watu kupoa n.k
 
Mazee,

2012 si kesho kutwa tu. Duh yaani itafika hata kabla sijafika ndani ya 18 ya Halle Berry? Maana niko kwenye waiting list yake. Na sasa hivi inavyoonekana niko scheduled kwa 2014. Acha utani bana..lol

Unajua haya mambo ya utabiri wa mwisho ya dunia tushayasikia sana. Binafsi, imefika kipindi naamini kuwa siku nitakayo kufa ndio itakuwa mwisho wangu wa Dunia. Kila mtu taa yake ya Dunia inazima pale akufapo.

kwani ikiwa kweli ni mwisho wa dunia wewe utapata hasara gani?. Mi sioni kama ni utabiri bali argument ime-base kwenye numbers+physics. Lakini pia kuna utabiri juu ya kubadilika kwa mfumo wa utawala wa dunia:this is what we can argue about.
 
21 December 2012 compliance - watafiti wajizolee Phds kuzuia hiyo doomsday
 
Nimefanya tathmini ya haraka haraka na kuanza kuunganisha dots nimekuja kugundua kuwa haya machafuko ya middle east(kumbuka middle east ndio kitovu cha dini zetu zote (Christian/Muslim), matetemeko makubwa ya dunia huko Japan na North Ireland ,bila kusahau katika kisiwa cha Haiti. Nadhani mtakubaliana na mimi kuwa tumeshuhudia pia mafuriko kule Australia na haya maafa yote yamepoteza maisha ya watu wengi. So guys inabidi tutubu na kumrudia Mungu na tukio la babu wa loliondo ambalo limekuwa gumzo dunia nzima nalo naweza kulihusisha na this end of the world japo siwezi kumuita babu kuwa ni nabii wa uongo kwa sababu babu hapreach injili bali anatibu watu bila kujali imani zao .
So guys ... Wat is your opinions?
 
Opinion kuhusu nini?....

Mwisho wa dunia hakuna aujuae zaidi ya Mungu,kaka ivunga hayo mambo yote ni ya kawaida kutokea i.e nguvu ya wakati ambayo haiwezi kuzuilika.
 
Kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa, sasa imekuwaje ninyi mmejua siku? Mwaka 2000 wakati huo nikiwa shule, mlisema ingekuwa mwisho wa dunia...........eheee....na halafu kule Uganda, Mwenzako Kibwetere akatangaza hivyo hivyo akawachoma moto watu. Cha muhimu hapa usisubiri utangaziwe mwisho wa dunia ndipo utubu, wewe tubu dhambi zako kwa maana huji siku wala saa............Haya yanayotokea ni majanga ambayo yalikuwepo tangu zamani.
 
Nimefanya tathmini ya haraka haraka na kuanza kuunganisha dots nimekuja kugundua kuwa haya machafuko ya middle east(kumbuka middle east ndio kitovu cha dini zetu zote (Christian/Muslim), matetemeko makubwa ya dunia huko Japan na North Ireland ,bila kusahau katika kisiwa cha Haiti. Nadhani mtakubaliana na mimi kuwa tumeshuhudia pia mafuriko kule Australia na haya maafa yote yamepoteza maisha ya watu wengi. So guys inabidi tutubu na kumrudia Mungu na tukio la babu wa loliondo ambalo limekuwa gumzo dunia nzima nalo naweza kulihusisha na this end of the world japo siwezi kumuita babu kuwa ni nabii wa uongo kwa sababu babu hapreach injili bali anatibu watu bila kujali imani zao .
So guys ... Wat is your opinions?

naona hii sermon yako ungeipeleka Japan, New Zealand, Australia, ireland etc walikopata matetemeko ya ardhi na mafuriko kisha uwaambie kuwa ni mwisho wa dunia. They are in a good position to give you comments you want.

huku wengi tunaamini mwisho ni pale unapokufa, na mwisho ya dunia ku-exist in space hakuna mwanadamu anayejua ile Yule aliye iumba na kuiweka ktk space.
 
Spot On bro.. couldn't have said it better!!
 
Hii hadithi yako au umeangalia filamu 2012 ya Roland Emmerich? Umeyasikia kutoka kwa kabila la Maya (Amerika ya Kusini), ambapo katika kalenda yao ulimwengu unamalizika tarehe 21 Desemba 2012?
Mkuu, majanga yamekuwa yakitokea na yataendelea kutokea, hasa nyakati hizi ambapo tunachafua mazingira kupita kiasi. Kwa mimi na wewe siku yetu ya mwisho ni pale tutakapokufa.
Tuwasiliane kuanzia tarehe 1 Januari 2013 ikiwa bado tutakuwa hai.
 
Mwisho wa dunia upo sana ingawa hakuna ajuaye siku wala saa.
Biblia imeandika wazi kabisa kuwa ingawa hakuna ajuaye siku wala saa kutakuwepo na nyakati za hatari,majanga makubwa, magonjwa makubwa na mengine mengi ambayo yamkini ni makubwa sana kwa kipindi hiki.
Pia imeandikwa wazi kabisa ingawa yatatokea hayo yote ,watu wengi wataendelea kuwa wabishi na wakaidi kukiri na kutubu.
Ndugu siku ya mwisho yaja tena yaja karibu sana ambapo kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri Yesu ni Bwana.
 
kulishatokea matuykio mengi sana na ya kutisha zaid ya haya-so mambo ya mwisho wa dunia ni mtazamo tu-hakuna mwanadam ajuae siku wala saa
 
wote mliochangia kunipinga hapa nadhani hamkunielewa hapa ninapomaanisha mwisho wa dunia simaanishi kurudi kwa Mungu but i mean .. The earth planed ita dissapear kabisa(destruct) na itapotea kabisa so guys keep on watching.
 
Back
Top Bottom