very difficult question.Kwa nini unaamini haya mambo ?
Mazee,
2012 si kesho kutwa tu. Duh yaani itafika hata kabla sijafika ndani ya 18 ya Halle Berry? Maana niko kwenye waiting list yake. Na sasa hivi inavyoonekana niko scheduled kwa 2014. Acha utani bana..lol
Unajua haya mambo ya utabiri wa mwisho ya dunia tushayasikia sana. Binafsi, imefika kipindi naamini kuwa siku nitakayo kufa ndio itakuwa mwisho wangu wa Dunia. Kila mtu taa yake ya Dunia inazima pale akufapo.
Nimefanya tathmini ya haraka haraka na kuanza kuunganisha dots nimekuja kugundua kuwa haya machafuko ya middle east(kumbuka middle east ndio kitovu cha dini zetu zote (Christian/Muslim), matetemeko makubwa ya dunia huko Japan na North Ireland ,bila kusahau katika kisiwa cha Haiti. Nadhani mtakubaliana na mimi kuwa tumeshuhudia pia mafuriko kule Australia na haya maafa yote yamepoteza maisha ya watu wengi. So guys inabidi tutubu na kumrudia Mungu na tukio la babu wa loliondo ambalo limekuwa gumzo dunia nzima nalo naweza kulihusisha na this end of the world japo siwezi kumuita babu kuwa ni nabii wa uongo kwa sababu babu hapreach injili bali anatibu watu bila kujali imani zao .
So guys ... Wat is your opinions?
naona hii sermon yako ungeipeleka Japan, New Zealand, Australia, ireland etc walikopata matetemeko ya ardhi na mafuriko kisha uwaambie kuwa ni mwisho wa dunia. They are in a good position to give you comments you want.
huku wengi tunaamini mwisho ni pale unapokufa, na mwisho ya dunia ku-exist in space hakuna mwanadamu anayejua ile Yule aliye iumba na kuiweka ktk space.