RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Habari mkuu..
Nina matatizo makubwa sana ya kifamilia, Mama yangu yupo polis mwezi unaisha huu sababu ya kupita eneo la shamba la mwekezaji wakati mimi nipo chuo na nimekosa mkopo mambo yameenda ndivyo sivyo..
Nimekosa hata nauli ya kwenda kumsabahi mama yangu likizo hii fupi..ingawaje wajomba zangu wanahangaikia atoke natumai watafanikiwa ,tatizo na wao mifuko imekauka..
Hali hii ilipelekeage niandike uzi huu
Ninahitaji mkopo wa Tsh 350,000 , dhamana vyeti vyangu vya elimu
Naomba msaada wako mkuu kama utaguswa ..nisingependa kushindanishwa ..
Ukinipa hio hela nitampatia huyo kijana hapo juu kwasababu naamini anaihitaji kuliko mimi.Habari za jumapili wanaJF,
Kwanza namshukuru mwenyezi Mungu kwa pumzi aliyotupatia mpaka tumefika mwisho wa mwaka kwa neema yake pia tutauona mwaka mpya.
Kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa yote aliyonitendea kwa mwaka mzima narudisha shukrani kwa jamii.Najitolea kumpa member mmoja kiasi cha shilingi 100,000/= kama shukrani..
Ili kupata pesa hii niambie unadhani ni kwanini unastahili kuipata na utaifanyia nini..nitasoma comment na mshindi nitamchagua 2/1/2018..Asanteni sana.