END OF THE YEAR GIVE AWAY

Ukinipa hio hela nitampatia huyo kijana hapo juu kwasababu naamini anaihitaji kuliko mimi.
 
Kwanza Mungu akubariki na herI ya mwaka mpya...kwanza kabisa nastahili kupata 100,000 kama moja ya matoleo yako. Mimi binafsi nikipata hiyo hela na ninaomba sana niipate itanisaidia katika matibabu yangu...Currently nmekuwa vibaya sana kifedha na ninahitaji Fedha kwa ajili ya dawa. Mungu atakubariki sana kama utaokoa maisha yangu kwa kunisaidia pesa za matibabu sababu nimekwama kifedha na ninahitaji kutibiwa mapema kabla mambo hayajawa zaidi. Nmekutumia document zote za matibabu yangu ya hospitali PM kwa uhakika zaidi kama utaguswa kutoa. Mwisho kabisa nakuombea kwa MUNGU azidi kukubariki mara elfu na uzidi kutoa kwa wengine....Heri ya mwaka mpya.
 
Pole sana my dear sote tunajua maumivu ya mama haswa kama umri umeenda alafu yupo ndani kama usemavyo,post yako imenigusa sana naona ndiyo utakaepewa hiyo ela nakusihi ukipewa usiipoteze kwenye nauli kwamba uende mwenyewe ila uwatumie hao wajomba zako ili waweze kumsaidia mama atoke kwanza ndiyo mengine yafuate mungu awe nawe
 
Unaitwa Nani? Ngoja nkufollow umenifurahisha...
 
Tunaujenzi mkubwa wa kanisa letu la Parokia ya Kishumundu, ujenzi Wa nyumba ya Mungu hutokea Mara chache mno Kwa miaka mingi.
Mfano, hili kanisa liliokuwepo limejengwa miaka zaidi ya hamsini iliyopita, kutokana na kuongezeka Kwa waumini na jamii Kwa ujumla, wanaparokia tulidhamiria kupanua kanisa Kwa kulijenga upya kabisa ili kukidhi mahitaji ya kupata huduma za kiroho.

Ujenzi Wa nyumba ya Mungu, umenifanya niweke hapa sababu hii kubwa na ya kihistoria, hivyo ukinipatia pesa hyo nitachangia yote katika ujenzi huo muhimu nawe utabarikiwa mno pamoja na uzao wako wote.
 
Napata shida sana kuhusu nani wa kumsaidia kati ya Captain Dunga na Professor....Sababu wote wanahitaji msaada na ishu zao ni serious sana na ....lakini najua kwa uwezo wa Mungu ataniongoza kati yao nani anahitaji zaidi.... [emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
 
Nimesoma na ya professor but to me still captain dunga deserves hiyo ela,usifanye utani mtu yupo hadi radhi kuweka vyeti vyake original vya elimu ili apate mkopo,,,by the way ulisema zawadi unatoa leo naona kimya au ushawapatia huko
 



Halafu utakuta ndugu yake kijijini anakufa njaa kwa kukosa hela ya mboga!!

Hii haina tofauti na enzi za Papa Musofe na Twanga Pepeta!
 
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuvuka salama....kama nilivyoahidi give away yangu bahati mbaya nimeshindwa kati ya members wawili yupi hasa nimpe sababu wote wamenigusa sana sana....Kwahiyo mwisho nimeona niwagawie nusu nusu wote kila mmoja 50000 nimeshindwa kabisa kuchagua mmoja.....Kama ndugu na familia ya JF kwa ujumla atakayeguswa zaidi tuungane kumsaidia ndugu yetu Captain Dunga nitashukuru sana na Mungu atawabariki
 
Halafu utakuta ndugu yake kijijini anakufa njaa kwa kukosa hela ya mboga!!

Hii haina tofauti na enzi za Papa Musofe na Twanga Pepeta!
Naweza kuwa na ndugu kijijini lakini pia mijini kuna watu wanahitaji zaidi ya ndugu zangu...Usione watu wanacheka nje hujui anayopitia na hajui wapi aombe msaada...Afadhali ndugu zangu wanaweza niomba lakini kuna waliokosa kabisa....Mwisho kabisa kutoa sio kwamba una utajiri au ziada au kutafuta sifa ni njia ya kushare wale wanaohitaji kwa kidogo ninachopata...hope uwe na moyo huo pia...Mungu akubariki
 
Ubarikiwe..coment ya uyo mtu imenikumbusha aina ya watu nao ishi nao. Ukichangia msiba au tatizo lolote la mtu zaidi ya elfu ishirini unasemwa una hela..jaman, Mwenyezi Mungu atuongoze kujua kuwa kutoa ni moyo na si utajiri
 
Be blessed Mama..
 
Ubarikiwe..coment ya uyo mtu imenikumbusha aina ya watu nao ishi nao. Ukichangia msiba au tatizo lolote la mtu zaidi ya elfu ishirini unasemwa una hela..jaman, Mwenyezi Mungu atuongoze kujua kuwa kutoa ni moyo na si utajiri
Watu hawajui kwamba kwenye jamii tunayoishi kuna watu wanahitaji sana na kama una uwezo wa kumpa furaha japo kwa kidogo share tuu Mungu atakubariki....Asante sana
 
Halafu utakuta ndugu yake kijijini anakufa njaa kwa kukosa hela ya mboga!!

Hii haina tofauti na enzi za Papa Musofe na Twanga Pepeta!
Yaan wewe, kuna kitu kinahitajika kufanyika juu yako ili ukae sawa..kwahyo msaada unatoa kwa ndg tu au watu unaowafahamu??. That can sometim be termed as sehemu ya majukumu yako. Yu hav to b aware kwamba there are so many blessings ktk kusaidia mtu/ watu usowajua
.Asante..
 
Kuna watu wana shida jamani acheni tu, mpaka unajikuta kama ulikuwa unalalamika unajiona kabisa unamkufuru Mungu.
 
Hongera kwa uamuzi wa busara best mungu akukuuzie kipata chako mwaka huu ili ujitolee zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…